Anataka achukue chake mapema
Mkuu mbona unamuita lizaboni, kwani ndio yuko zamu kwa upande wa vijana wa lumumba wiki hii?Lizaboni mchango wako unasubiriwa hapa!
Mimi nadhani imefika wakati huyu jamaa afukuzwe tu ubunge maana hata kesi yake inaendeshwa kimagumashi! Anatutia aibu sana wananchi wa BAHI!
Duuuu hata hao wananchi wana roho ya kono kono aseeeukoo wa chamak nchanga.
...
'Mary Mwanjelwa
Mtaalam wa kuiba mataulo Hotelini
Juzi uzi ulisema kaiba mkufu wa dhahabu Ughaibuni halafu akakimbia haraka'
Mkuu huu ni ugonjwa wa kichwa tena unatibika kitaalamu unaitwa kleptomaniac. Yaani unadokoa hata vitu saa zingine huvihitaji kwa kuwa tayari unavyo au wakati mwingine ungeweza kununua kwa kuwa unao uwezo wa kufanya hivyo!!