Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Mbunge jimbo la Bahi(CCM) anakabiliwa na Kashifa ya rushwa kwa kuanzisha vikundi hewa vya kukopesha na kuchukua hela za mfuko wa jimbo! Tayari Takukuru imemkamata Msaidizi wake na mpaka sasa yupo rumande kituo kikuu cha Polisi Mkoani Dodoma,ikumbukwe Mheshimiwa Baduel mpaka sasa anaendelea na kesi mahakama ya kisutu akituhumiwa kuomba rushwa kwa alie kua mkurugenzi wa halmashauri ya Mkurugenzi wa Mkuranga. Mbunge huyo bado hajakamatwa kwa sasa ana hudhulia vikao vya kamati vya bunge jijini dar es salaam.
Mimi nadhani imefika wakati huyu jamaa afukuzwe tu ubunge maana hata kesi yake inaendeshwa kimagumashi! Anatutia aibu sana wananchi wa BAHI!