WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
Mkuu tz1, umeongea point safi sana!! Dr Dr hajafurahia hata kidogo kwa huyu bwana kujipendekeza kwake hapo. Dr Dr mwenyewe ni CDM damu damu, nani asiyejua 2005 Dr Dr alikuwa atimkie CDM kama CCM wangemtosa kwenye kura za maoni? Ni muda tu ndo utasema yote.Hiyo picha inaonekana Dr Dr hakupenda uwepo wake body language inajieleza
inawezekana kweli ee!ccm ilitaka chadema wajichanganye kwa kumfukuza shibuda, kinyume chake jeuri hiyo imeshindikana kwa chadema kuamua ngano na magugu vikue pamoja hadi wakati wa mavuno ambayo magugu yatatenganishwa. Subira ccm imewashinda na hivi wameamua kufanya kweli walichokusudia.
Katika hili dhambi yake nini? manake kwa mtaji huu wa vyama hata ikiwa ni CCM kama inafadhiliwa nje ya taratibu naamini hakuwa wa kutuokoa na janga litakalokuja.Habari za uhakika zinasema jamaa alimpelekea rais mipango yote ya cdm kuhusu mpango wa kufanya maandamano na jinsi ujeruman, kanada, denmark na ujeruman walivyopanga kuisaidia hela cdm za kufanikisha maandamano. Shibuda amesema cdm ni chama kampun na chama saccos
soma vizuri:kikwete ni rais wanchi na shibuda ni mbunge wa jimbo la maswa, wakisalimiana kuna ubaya gani, au kupeana mkono kunambadilisha kuwa ccm? Some times when you have nothing to say in your mind usilazimisha kuzungumza ulilonalo katika masaburi yako.
mbunge wa chadema john shibunda akisalimiana na rais kikwete alipofika dodoma kuongea na wabunge wa ccm kabla ya vikao vya ccm kuanza. Mbunge shibuda wa chadema akiambatana na uongozi wa juu wa ccm akishirikishwa katika hafla hiyo. Je ni usaliti kwa chama chake cha chadema? Haya yametokea jana usiku kama inavyoonekana katika picha.
Mbona hiyo picha ni ya mwaka jana?
amini usiamini,ni jana Kikwete alipotua Dom kwa ajili ya vikao vya NEC,alipokelewa na makada wa CCM na kusalimiana nao.Nilishanga uwepo na kusalimiana na shibuda wakati wote walokuwepo hapo ni kadas wa ccm na kikwete amekuja dom kwa vikao vya kichamaView attachment 41703