Mbunge Salome Mwambu (CCM) mahututi Muhimbili

Atumuombei Mabaya kwakeli ila Jimbo ni muhimun pia
 
Mungu akusaidie urudi bungeni ukaseme ndiyooo!
 
Nimeambiwa bado mgomo baridi upo mnh...vipi anapata matibabu km kawa?
 
Mwambieni dr uli anakuja! So, apone fasta asikutwe.
 

Jamani kwanini Wasimpeleke Hospitali ya Serikali - INDIA? Hii ni Hatari kweli Muhimbili hapafai
 
pole sana mama mwambu. alikuwa mkuu wa chuo cha ualimu Ndalla-Tabora, japo alikuwa ni mnoko sana na asiyependa kusikia la mtu ila inapofikia kwenye swala kama hili inabidi tofauti tuziweke pembeni tumsamehe na kumtakia heri apone haraka.
 
pona haraka gamba ukapige meza vizuri pale bungeni na ukajiunge na wenzako kuwazomea makamanda
 
Bila CT-Scan, atapimwa na nini???? Hayo ndiyo matunda ya kuunga hoja kwa asilimia 100. drs- keep it up.
 
Nijuze mchango wake kuhusu Madaktari ukoje? Kama aliwaponda basi hatuna haja ya kujihusisha nae. Mdomo umtibu!

JamiIForums The Home Of Great Comedians. Mkuu umenichekesha vibaya mno.
 
Hata sijui nimuombee lipi kwa mungu... Maana haya masisiemu ni zaidi ya mashetani
 
Drs fanyeni kazi yenu!
nakwambia watapeleka india tu.... that is the fact, wanasiasa na madaktri kwa sasa ni petroli na kiberiti.....

labda awe na madaktari wake na manesi wake na wakae pale muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…