Mbunge wa Iramba Mashariki-CCM-Salome Mwambu ni mgonjwa mahututi na amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi-ICU.
Msemaji wa MNH Aminiel Aligaesha amesema kimsingi hali ya mbunge huyo siyo nzuri.Amelazwa hospitalini hapo tangia Julai 21.
Mbunge huyo anasumbuliwa na kisukari na shinikizo la damu.
Source:Nipashe Ijumaa.
Drs fanyeni kazi yenu!
Nijuze mchango wake kuhusu Madaktari ukoje? Kama aliwaponda basi hatuna haja ya kujihusisha nae. Mdomo umtibu!
Mwenyezi Mungu atkusaidia utapona mhe ili urudi jimboni ukawtumikie wapiga kura wako.
Drs fanyeni kazi yenu!
Drs fanyeni kazi yenu!
Wale wale wanaotumia kichwa kufuga nywele badala yakufikiri km Mh Lissu nk teh teh teh teh
Mbunge wa Iramba Mashariki-CCM-Salome Mwambu ni mgonjwa mahututi na amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi-ICU.
Msemaji wa MNH Aminiel Aligaesha amesema kimsingi hali ya mbunge huyo siyo nzuri.Amelazwa hospitalini hapo tangia Julai 21.
Mbunge huyo anasumbuliwa na kisukari na shinikizo la damu.
Source: Nipashe Ijumaa.