Mbunge Peter Lijualikali, afunika Ifakara

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,484
17800444_602044043321531_6366886129445749460_n.jpg

Wakazi wa Kata ya Mwaya Tarafa ya Mang'ula Wilayani Kilombero mapema leo wamejitokeza kwa wingu kumpokea Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe Peter Lijualikali katika Mkutano wake na wakazi wa Kata hiyo.

Lijualikali aliwataka wakazi hao kutokuwa na uwoga na badala yake waunganishe nguvu zao kwa kushirikiana na viongozi waliowachagua licha ya viongozi hao kufanyia vikwazo vingi.

Akiwashukuru wakazi hao juu ya upendo waliouonyesha dhidi yake tangu alipofungwa Lijualikali aliwaahidi kufanya kazi waliyomtuma kwani kifungo chake kimetokana na chuki za kisiasa juu ya kupigania haki ya wananchi wa Jimbo lake.

Maendeleo
Lijualikali alilaani kitendo cha Magereza kumnyika kuweka saini Mkataba wa mradi wa ujenzi wa daraja la DDC ambalo linaunganisha Kata ya Mangula na Kata ya Mwaya hali ambayo imewafanya wakazi wa kata hizo kukosa huduma kutoka kwa Mbunge wao.

Akizungumzia ujenzi wa barabara kutoka kidatu mpaka ifaka Lijualikali alisema "Taratibu zote za msingi zimeshafanyika hatua ya inayofata ni wafadhi wa ujenzi huo wanafanya tathmini na ujenzi utaanza mwishoni mwa mwezi wa tano.

Hali ya Kisiasa
Akizungumza na wakazi hao Lijualikali alizungumzia hali ya Kisiasa nchini ambapo amewaeleza hakuna aliyesalama na endepo wenye kuweza kupiga kelele basi wapige kelele kulaani vitendo vya Serikali kuwakandamiza viongozi wa upinzani.

Lijualikali amemaluza ziara yale ya siku mbili Jimboni kwake ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu atoke Gerezani
 
Hii nchi itakuwa na watu zaidi ya Milioni 50 tunayoambiwa maaana kila mahali Nyomi hadi Mwaya leo kumejaaa
 
Hili ni Sululu ya kuchimba viwete wa CCM ama kweli Lijualikali ni chaguo la wana Ifakara na si chaguo la Miungu kama mwenyekiti wa kijani
 
View attachment 493568
Wakazi wa Kata ya Mwaya Tarafa ya Mang'ula Wilayani Kilombero mapema leo wamejitokeza kwa wingu kumpokea Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe Peter Lijualikali katika Mkutano wake na wakazi wa Kata hiyo.

Lijualikali aliwataka wakazi hao kutokuwa na uwoga na badala yake waunganishe nguvu zao kwa kushirikiana na viongozi waliowachagua licha ya viongozi hao kufanyia vikwazo vingi.

Akiwashukuru wakazi hao juu ya upendo waliouonyesha dhidi yake tangu alipofungwa Lijualikali aliwaahidi kufanya kazi waliyomtuma kwani kifungo chake kimetokana na chuki za kisiasa juu ya kupigania haki ya wananchi wa Jimbo lake.

Maendeleo
Lijualikali alilaani kitendo cha Magereza kumnyika kuweka saini Mkataba wa mradi wa ujenzi wa daraja la DDC ambalo linaunganisha Kata ya Mangula na Kata ya Mwaya hali ambayo imewafanya wakazi wa kata hizo kukosa huduma kutoka kwa Mbunge wao.

Akizungumzia ujenzi wa barabara kutoka kidatu mpaka ifaka Lijualikali alisema "Taratibu zote za msingi zimeshafanyika hatua ya inayofata ni wafadhi wa ujenzi huo wanafanya tathmini na ujenzi utaanza mwishoni mwa mwezi wa tano.

Hali ya Kisiasa
Akizungumza na wakazi hao Lijualikali alizungumzia hali ya Kisiasa nchini ambapo amewaeleza hakuna aliyesalama na endepo wenye kuweza kupiga kelele basi wapige kelele kulaani vitendo vya Serikali kuwakandamiza viongozi wa upinzani.

Lijualikali amemaluza ziara yale ya siku mbili Jimboni kwake ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu atoke Gerezani
Sasa ndio muda wa kuwaletea maendeleo wananchi wako.Wamekurudisha nyuma sana, ila Mungu atakusaidia wewe piga kazi!
 
Aiseeeeee,,, vijana hawa wachape kazi kwa kweli wana support ya hali ya juu sana kutoka kwa wananchi! Hii nyomi utafikri ya mwenyekiti wa ccm Taifa!!
 
View attachment 493568
Wakazi wa Kata ya Mwaya Tarafa ya Mang'ula Wilayani Kilombero mapema leo wamejitokeza kwa wingu kumpokea Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe Peter Lijualikali katika Mkutano wake na wakazi wa Kata hiyo.

Lijualikali aliwataka wakazi hao kutokuwa na uwoga na badala yake waunganishe nguvu zao kwa kushirikiana na viongozi waliowachagua licha ya viongozi hao kufanyia vikwazo vingi.

Akiwashukuru wakazi hao juu ya upendo waliouonyesha dhidi yake tangu alipofungwa Lijualikali aliwaahidi kufanya kazi waliyomtuma kwani kifungo chake kimetokana na chuki za kisiasa juu ya kupigania haki ya wananchi wa Jimbo lake.

Maendeleo
Lijualikali alilaani kitendo cha Magereza kumnyika kuweka saini Mkataba wa mradi wa ujenzi wa daraja la DDC ambalo linaunganisha Kata ya Mangula na Kata ya Mwaya hali ambayo imewafanya wakazi wa kata hizo kukosa huduma kutoka kwa Mbunge wao.

Akizungumzia ujenzi wa barabara kutoka kidatu mpaka ifaka Lijualikali alisema "Taratibu zote za msingi zimeshafanyika hatua ya inayofata ni wafadhi wa ujenzi huo wanafanya tathmini na ujenzi utaanza mwishoni mwa mwezi wa tano.

Hali ya Kisiasa
Akizungumza na wakazi hao Lijualikali alizungumzia hali ya Kisiasa nchini ambapo amewaeleza hakuna aliyesalama na endepo wenye kuweza kupiga kelele basi wapige kelele kulaani vitendo vya Serikali kuwakandamiza viongozi wa upinzani.

Lijualikali amemaluza ziara yale ya siku mbili Jimboni kwake ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu atoke Gerezani
Hii ni picha ya mwaka juzi kabla ya uchaguzi ndipo mikutno ya kisiasa ilikuwa inafanyika. Wewe ndio unatuletea leo. Unamdanganya nani wewe sasa hivi habari ya mjini ni Mh Magufuli tu.
 
Mungu mbariki Lijuakali .
 
Hii ni picha ya mwaka juzi kabla ya uchaguzi ndipo mikutno ya kisiasa ilikuwa inafanyika. Wewe ndio unatuletea leo. Unamdanganya nani wewe sasa hivi habari ya mjini ni Mh Magufuli tu.
UJINGA , UMASIKINI na NJAA ndiyo nguzo kuu ya ccm

umeishia darasa la ngapi mkuu ?
 
View attachment 493568
Wakazi wa Kata ya Mwaya Tarafa ya Mang'ula Wilayani Kilombero mapema leo wamejitokeza kwa wingu kumpokea Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe Peter Lijualikali katika Mkutano wake na wakazi wa Kata hiyo.

Lijualikali aliwataka wakazi hao kutokuwa na uwoga na badala yake waunganishe nguvu zao kwa kushirikiana na viongozi waliowachagua licha ya viongozi hao kufanyia vikwazo vingi.

Akiwashukuru wakazi hao juu ya upendo waliouonyesha dhidi yake tangu alipofungwa Lijualikali aliwaahidi kufanya kazi waliyomtuma kwani kifungo chake kimetokana na chuki za kisiasa juu ya kupigania haki ya wananchi wa Jimbo lake.

Maendeleo
Lijualikali alilaani kitendo cha Magereza kumnyika kuweka saini Mkataba wa mradi wa ujenzi wa daraja la DDC ambalo linaunganisha Kata ya Mangula na Kata ya Mwaya hali ambayo imewafanya wakazi wa kata hizo kukosa huduma kutoka kwa Mbunge wao.

Akizungumzia ujenzi wa barabara kutoka kidatu mpaka ifaka Lijualikali alisema "Taratibu zote za msingi zimeshafanyika hatua ya inayofata ni wafadhi wa ujenzi huo wanafanya tathmini na ujenzi utaanza mwishoni mwa mwezi wa tano.

Hali ya Kisiasa
Akizungumza na wakazi hao Lijualikali alizungumzia hali ya Kisiasa nchini ambapo amewaeleza hakuna aliyesalama na endepo wenye kuweza kupiga kelele basi wapige kelele kulaani vitendo vya Serikali kuwakandamiza viongozi wa upinzani.

Lijualikali amemaluza ziara yale ya siku mbili Jimboni kwake ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu atoke Gerezani
Mbona naona watoto wengi hapo?au ni wapare thithithithi ndio baba thao na thithithithi ndio mama thao!!?
 
Back
Top Bottom