Mbunge Peter Lijualikali, afunika Ifakara

Sijasoma kabisa yaani sijui kitu kinachoitwa shule. Unahitaji nikusaidie nini binti mzuri wa kihindi.
Nakuambia huu ni mkutano halali wa mbunge wa kilombero , si mkutano wa kampeni , jifunue hilo blanket jeusi
 
Mama wa kihindi leo hii mmepitisha mabango kutoka SABC yakisema kuwa mikutano ya kisiasa Tanzania imezuiwa na nyote mmekubali imezuiwa halafu baada ya saa mbili mnarusha mkutano wa kisiasa wa mbunge Lijualikali. Kama si uongo ni nini? Wewe binti wa kihindi acha uongo. Huu ni mkutano wa kampeni tena na Lowasa alikuwapo.
 
Kwa sheria mpya za kidikteta Tanzania , anayeruhusiwa kufanya mkutano wa kisiasa ni mbunge wa eneo husika tu , wasio wabunge hawaruhusiwi na wala vyama visivyo na wabunge visifanye siasa , wala vyama vipya visisajiliwe , maana ni marufuku kutoka kwa mungu wa ccm kwa wasio wabunge kufanya mikutano , KINYUME KABISA CHA KATIBA na KINYUME KABISA CHA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA .
 
Wewe binti wa kihindi acha uongo. Mimi ninachokijuwa madiwani na wabunge wanayo majukumu ya kufanya siasa na kukutana na wananchi na kupokea kero zao. Pia ni uongo kusema kuwa vyama vipya haviruhusiwi kusaajiliwa kwani hata mwana jf D Kisandu amesema ataunda chama kipya.
Lakini baada ya SABC kutoa taarifa yake na kuungwa mkono humu jf kuwa ni kweli hakuna kufanya mikutano ya kisiasa nchini. Nilirekebisha kumbukumbu zangu toka hapo. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu. Huwezi kuniaminisha katika mazingira ya makatazo Lijualikali ajaze watu wote hao peke yake bila kuwapo Mbowe au Lowasa. Hiyo nipicha ya wakati wa kampeni tena na Lowasa alikuwapo.
 
DUUUUU!!! HII ZAIDI YA MAFURIKO!!!!!!!!!!!

CCM maji taka.jpg

Moja ya nguzo kuu ya ccm ni kutokutambua yanayoendelea .
 
Nilikuwa sijajua kama nyie mabinti wa kihindi kihindi waongo hivi. Nisijue kinachoendelea nikuoneshe bandiko la SABC lililowekwa leo humu jamvini na chedema na wewe mmeliunga mkono. Saa mbili baadaye mnaleta uongo eti mbunge kaweka nyomi. Labda mniambie SABC waongo mikutano ya kisiasa haijakatazwa majimboni na katani.
 
Back
Top Bottom