Mbunge Pauline Gekui anatia aibu CHADEMA

Sio kwa mujibu wa Chadema.

Wabunge wa viti maalum wamechakuliwa kwa elimu zao. Kila mwenye elimu ya juu zaidi alikuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuchaguliwa kwa vile chama kinaamini elimu ni directly proportion to ubora wa mbunge
SIE CHADEMA viti maalum vilitolewa kwa UKOO sifa namba 1; Lucy Owenya, Kiwelu= Ndesa family; Lissu = Tindu Lissu empire nk.
 
Ccm ni genge la watu dhaifu ! aibu za ccm ni nyingi .
Chama kina wezi waiba mataulo, kina wezi wa mali ya Umma kina Mramba , chenge .
 
CDM ni genge la Watu wasiokuwa Makini ni Chama cha Kichagga! Sifa kubwa ya Wabunge wa viti maalum kwanza lazima uwe mchagga. au uwe na mahusiano na viongozi wa juu wa CDM.Ebu angalia kundi la wachagga viti maalum.Lucy OwenyaJocyce MukyaSuzan LyimoGrace KiweleRose Kamili huyu alikuwa demu wa a Loser Dr Slaa ajawahi kuongea chochote bungeniChritina Lissu huyu ndio hamna kitu nguvu ya kaka ndio imemuweka bungeni Tindu Lissu
 
na nyie mnaokuja na hoja za kichovu humu jamvini mmeokotwa wapi na NAPE? tunajadili jinsi serikali ya kimagamba ilivyofanya watanzania waishi kama wako jela kwa kipindi karibu miaka hamsini tangia tupate uhuru, huku wao wakiishi kama wako peponi, na sasa tukiwa tunahoji maisha yetu na tofauti hizi za kimaisha wanang'aka na kusema tunatishia amani na kuchochea wananchi dhidi ya serikali yao? mwisho wa magamba si muda mrefu, mtatafuta pakujificha na mpaka poda wenu (Mr. 90days) aliyewatuma kuja kuvuruga mijadala ya kupata mustakabali wetu kama taifa, mkiwa naye mkumbusheni kuwa zile siku 90 zinayoyoma.
 
Na ccm ni genge la wezi, kama mzee mamvi, mzee va vijisenti, king maker, na ndio maana haiwezekani kufukuzwa kwa sababu mkiwafukuza watalalamika kuwa wezi si peke yao katika ccm? kama mnabisha vijana wa Nape mtaona kama ahadi ya "mpaka pouwdah" itatekelezwa
leteni porojo zingine mbatata nyie
 

Asante Engineer.
Inashangaza kuona mtu anatupa dongo tu for the sake of it ili naye aonekana kaanzisha mada.Jamani ustaarabu ni kitu cha bure kabisa na hakiuzwi popote.
 

hivi kuna watu wapuuzi kiasi hiki wanajua kutumia kompyuta.
 
 
Hauikuwa na mvuto wala hoja za msingi. Nawapa ushauri wa bure akapewe tution namna ya kuwasilisha hotuba ya upinzani bungeni. Pia awe awe anajiamini

Yaani unamaanisha aanze kwa kuwashukuru akina jk, mawaziri uchwara wa sirikari iliyo kwenye ulaji, wajukuu zake hata wale ambao wanajifunza kuzungumza, wapiga kura wake kwamba hajawatembelea majimboni au?
 
Wewe ndiyo mbwiga kweli yule mama ni mtu makini alishawahi kuwa diwani Pia. Huwezi kumfananisha na matakataka ya wanamagamba kama vile hawa ghasia, mery mwanjelwa, maua daftari, pindi chana, anna makinda n.k
 
hivi kuna watu wapuuzi kiasi hiki wanajua kutumia kompyuta.
Yani wewe ulivyokuwa na fikra masizi unaona kompyuta ni kitu kikubwa! Wakati mimi mwenyewe nyumba kwangu nimemnunulia Mbwa wangu Laptop anachezea Game
 
Hv unaposema naunga mkono hoja mia kwa mia then anaanza kuchangia anakua anamaanisha nn?
Mi nadhani kama anaunga hoja mia kwa mia angekua anakaa mana hana jipya.ccm wana nidhamu ya woga
 
kama alisoa kichovu lakini ikawa na mantiki nahoja nzurii hakuna taabu kabisa!
kuliko hizo nyingi za sisiem mnazosoma mkiwa na suti na tai nyekundu ila za kukatisha tamaa kila siku.
 
Yani wewe ulivyokuwa na fikra masizi unaona kompyuta ni kitu kikubwa! Wakati mimi mwenyewe nyumba kwangu nimemnunulia Mbwa wangu Laptop anachezea Game

Duh! umenikumbusha mshikaji wangu, aliwahi kunambia kwao wana TV hadi kwene banda la kuku!
 

Rose Kamili mchumba wa Dr Wilbroad Peter Slaa!

Mkuu, Josephine ni nani mbona mnatuchanganya jamani

Mtaiba sana mataulo mwaka huu na mbaki kuchanganyikiwa na former priest!!!..Eti Paulina kaongea upupu,kweli CCM imejaa vilaza tena waliokubuhu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…