J John W. Mlacha JF-Expert Member Oct 4, 2007 3,504 1,341 Jan 11, 2012 #61 Nyani Ngabu said: Lazaro bado ana kesi ya kujibu kule Forrest City, Iowa. Alimbakaga msichana wa Kinamibia. Click to expand... inabidi tumtafute huyu msichana
Nyani Ngabu said: Lazaro bado ana kesi ya kujibu kule Forrest City, Iowa. Alimbakaga msichana wa Kinamibia. Click to expand... inabidi tumtafute huyu msichana
D dasalemu Member Mar 18, 2014 75 16 Mar 29, 2014 #62 Tenda muimo asa majighana isekuu.matunda ni akudime ija. Utamuvite mukhomoi ni waja akuhore wende girunde kuufanga wa khare na khare. Muramuche mwamwane
Tenda muimo asa majighana isekuu.matunda ni akudime ija. Utamuvite mukhomoi ni waja akuhore wende girunde kuufanga wa khare na khare. Muramuche mwamwane
hyusuph JF-Expert Member Dec 5, 2013 1,655 686 Mar 29, 2014 #63 Mmh jamani ni masikio yngu au nn mi si nilishasikia kuwa walishaoana toka mwaka jana au wanaoana mara ya pili
Mmh jamani ni masikio yngu au nn mi si nilishasikia kuwa walishaoana toka mwaka jana au wanaoana mara ya pili
Dejane JF-Expert Member Jan 1, 2014 49,663 68,641 Mar 29, 2014 #64 hyusuph said: Mmh jamani ni masikio yngu au nn mi si nilishasikia kuwa walishaoana toka mwaka jana au wanaoana mara ya pili Click to expand... Huu uzi ni wa zamanii
hyusuph said: Mmh jamani ni masikio yngu au nn mi si nilishasikia kuwa walishaoana toka mwaka jana au wanaoana mara ya pili Click to expand... Huu uzi ni wa zamanii
BABU CHONDO JF-Expert Member Jun 6, 2011 855 139 Mar 29, 2014 #65 Dinazarde said: Huu uzi ni wa zamanii Click to expand... We ndo mgeni,ila hata gazeti kama ni la mwaka jana kama hujalisoma ni jipya kwako
Dinazarde said: Huu uzi ni wa zamanii Click to expand... We ndo mgeni,ila hata gazeti kama ni la mwaka jana kama hujalisoma ni jipya kwako
Dejane JF-Expert Member Jan 1, 2014 49,663 68,641 Mar 29, 2014 #66 BABU CHONDO said: We ndo mgeni,ila hata gazeti kama ni la mwaka jana kama hujalisoma ni jipya kwako Click to expand... Nimeangalia tarehe aliyopost thread na mwaka au sio wenyewee
BABU CHONDO said: We ndo mgeni,ila hata gazeti kama ni la mwaka jana kama hujalisoma ni jipya kwako Click to expand... Nimeangalia tarehe aliyopost thread na mwaka au sio wenyewee
BABU CHONDO JF-Expert Member Jun 6, 2011 855 139 Mar 29, 2014 #67 Dinazarde said: Nimeangalia tarehe aliyopost thread na mwaka au sio wenyewee Click to expand... Ndo wenyewe bi mkubwa ni zamani
Dinazarde said: Nimeangalia tarehe aliyopost thread na mwaka au sio wenyewee Click to expand... Ndo wenyewe bi mkubwa ni zamani
qn of sheba JF-Expert Member Sep 13, 2011 3,230 1,359 Mar 29, 2014 #68 hyusuph said: Mmh jamani ni masikio yngu au nn mi si nilishasikia kuwa walishaoana toka mwaka jana au wanaoana mara ya pili Click to expand... Hii thread ni ya mwaka 2007 na ndoa ilishafungwa mwaka 2008 angalia tarehe ndugu
hyusuph said: Mmh jamani ni masikio yngu au nn mi si nilishasikia kuwa walishaoana toka mwaka jana au wanaoana mara ya pili Click to expand... Hii thread ni ya mwaka 2007 na ndoa ilishafungwa mwaka 2008 angalia tarehe ndugu
Dejane JF-Expert Member Jan 1, 2014 49,663 68,641 Mar 29, 2014 #69 BABU CHONDO said: Ndo wenyewe bi mkubwa ni zamani Click to expand... Mbona ulibishaa lol
124 Ali JF-Expert Member Apr 25, 2010 7,802 5,494 Mar 30, 2014 #70 Kuntakinte said: Chagua jibu kati ya haya yafuatayo: HAYA YAMETOLEWA NA MICHUZI SASA KAZI KWAKO MWENYE SWALI ROMANCE MATHEMATICS Smart man + smart woman = romance Smart man + dumb woman = affair Dumb man + smart woman = marriage Dumb man + dumb woman = pregnancy Click to expand... Oh my God! i had few romances ,numerous disgusting affairs ,and a successfully marriage.Am i HAPPY DUMB MAN?LOL!
Kuntakinte said: Chagua jibu kati ya haya yafuatayo: HAYA YAMETOLEWA NA MICHUZI SASA KAZI KWAKO MWENYE SWALI ROMANCE MATHEMATICS Smart man + smart woman = romance Smart man + dumb woman = affair Dumb man + smart woman = marriage Dumb man + dumb woman = pregnancy Click to expand... Oh my God! i had few romances ,numerous disgusting affairs ,and a successfully marriage.Am i HAPPY DUMB MAN?LOL!