Mbunge Ndasa wa CCM ataka wabunge waitwe watukufu

Mbunge Ndasa wa CCM ataka wabunge waitwe watukufu

funza

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
11,290
Reaction score
6,460
Akichangia Hoja mda huu amesema wabunge waitwe Watukufu
 
Hv Kama bungeni kusingeliwepo na wapinzani kungelikuaje ?
 
Ndassa ana hofu ,kwa kifupi hofu ni mbaya jamani.
 
Akichangia Hoja mda huu amesema wabunge waitwe Watukufu

Hao ndio wale ambao wakati wa kuomba kura hupiga hata magoti na kuammkia watoto wadogo shikamoo. Akisha pata yeye ndio mtukufu. Aambiwe bila kumwonea haya kuwa utukufu ni wa MUngu pekee.
 
ndasa ni drug dealer kingpin leo anataka kuitwa mtukufu, huenda neno utukufu halina maana ile tena
 
Uyo anayeshinda pale chako ni chako akinywa kinana mpka anajikojolea anataka nini?
 
Ivi kweli mtu kama Komba anawatoto wenye kujieshimu kweli na maadili mema?
 
Akichangia Hoja mda huu amesema wabunge waitwe Watukufu

1235096_695509217129138_2090185939_n.jpg
 
Lusifa kabla ya kuwa shetani alitamani kuabudiwa kama Mungu. Mwisho wake aliishia kufukuzwa kutoka mbinguni. Alikuwepo mbunge mmoja ambaye naye alikuwa anajitafutia umaarufu wa namna hii. Amesahaulika. Huyo Ndasa yuko mbioni kufutika kwenye ulimwengu wa siasa. Time will tell.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Akichangia Hoja mda huu amesema wabunge waitwe Watukufu

Mbunge Ndassa ni Janga la Usukumani, Ni hawa hawa wanaobariki mikataba feki ambayo Wawekezaji wanaondoka na dhaqhabu yetu wanatuacha huku usukumani tukiambulia mashimo na magonjwa ya ngozi. Hao nio Mammluki wa watawala, tunawataka CDM wafike haraka kwa kampeni tuwatoe mamluki hawa wamnetucheleweshea maendeleo san.

Mungu anayesikia maombi ya wanyonge hakika sasa atatusaidia kuwaondoa hao mamluki,
 
Hiyo Title anataka apewe kwa faida yake Binafsi ama ya Wananchi waliomchagua?
Mwananchi wa Jimbo lake atanufaika na nini kwa kumuita Mbunge wao Ndassa Mtukufu?
Ametoa sababu gani kuitetea hoja yake hii?
 
Alichosema Ndassa;' hili ni Bunge Tukufu, hakusema wabunge waitwe Watukufu ......tukiendelea na ugomvi huu halitokuwa lBunge tukufu tena ila litakuwa Bunge la wagomvi. na kwa maantiki hiyo tutakuwa hatuwatendei haki waiotuchagua' nanukuu alichosema na kama unabisha kasome HANSARD
 
Hilo bunge lina utukufu gani? Lukuvi mwenyewe alisema baadhi yao wanauza na kutumia unga. Huo utukufu uko wapi? Simpasa alikuwa akijiinua kama huyu. Yuko wapi?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Alichosema Ndassa;' hili ni Bunge Tukufu, hakusema wabunge waitwe Watukufu ......tukiendelea na ugomvi huu halitokuwa lBunge tukufu tena ila litakuwa Bunge la wagomvi. na kwa maantiki hiyo tutakuwa hatuwatendei haki waiotuchagua' nanukuu alichosema na kama unabisha kasome HANSARD

Kuna utukufu gani humo ndani ya Bunge?hv Akina komba akina malima akina Azani akina mchungaji Rwakatare ni watukufu
 
UTUKUFU U na MUNGU tu!hawa wengine ni ile hadithi ya Vimbwenelehi!!!
 
Back
Top Bottom