Mwanachadema akishaanza kusifiwa na MACCM, sijui namuonaje!
By the way, sio wewe wala huyo NASSARY wako mnaojua majukumu ya mbunge.
Wabunge aina ya Nassary ndio wanaifanya serikali ya CCM iendelee kuwa goigoi , wanaacha majukumu yao ya kibunge na kujifanya kuwa wafadhili wa wananchi ili wachaguliwe tena na tena, Kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali ifanye kazi zake ipasavyo! na sio vinginenyo!
Kila Mbunge akifanya kazi yake ya msingi ipasavyo serikali itanyooka kama Rula!
Kwa mchango wako huu bora utoe picha ya lowasa unamwaibisha huyo Mzee.Mwanachadema akishaanza kusifiwa na MACCM, sijui namuonaje!
By the way, sio wewe wala huyo NASSARY wako mnaojua majukumu ya mbunge.
Wabunge aina ya Nassary ndio wanaifanya serikali ya CCM iendelee kuwa goigoi , wanaacha majukumu yao ya kibunge na kujifanya kuwa wafadhili wa wananchi ili wachaguliwe tena na tena, Kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali ifanye kazi zake ipasavyo! na sio vinginenyo!
Kila Mbunge akifanya kazi yake ya msingi ipasavyo serikali itanyooka kama Rula!
Mwanachadema akishaanza kusifiwa na MACCM, sijui namuonaje!
By the way, sio wewe wala huyo NASSARY wako mnaojua majukumu ya mbunge.
Wabunge aina ya Nassary ndio wanaifanya serikali ya CCM iendelee kuwa goigoi , wanaacha majukumu yao ya kibunge na kujifanya kuwa wafadhili wa wananchi ili wachaguliwe tena na tena, Kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali ifanye kazi zake ipasavyo! na sio vinginenyo!
Kila Mbunge akifanya kazi yake ya msingi ipasavyo serikali itanyooka kama Rula!
Kwa mchango wako huu bora utoe picha ya lowasa unamwaibisha huyo Mzee.
NASSARY anafanya both.
Kuisimamia serikali na kuwasaidia wananchi moja kwa moja.
Naungana na mtoa maada kumtaka nasssari aondoke haraka kwenye chama cha wanafiki chagadema
Nguruwe wa lumumba weKwa mchango wako huu bora utoe picha ya lowasa unamwaibisha huyo Mzee.
NASSARY anafanya both.
Kuisimamia serikali na kuwasaidia wananchi moja kwa moja.
Naungana na mtoa maada kumtaka nasssari aondoke haraka kwenye chama cha wanafiki chagadema
Gharama ya kununua vitanda kutoka china ,mpaka hapa je angenunua vingapi KUTOKA msd ya hapa kwetuKwa kweli huyu Mbunge wa Arumeru sijui alifikaje chadema kwa maana hafiti kabisa, huyu dogo ana moyo sana wa kujitolea na nimemuona akishiriki moja kwa moja kwenye mambo ya kusadia jamii yake na kamwe sijawahi kumsikia akijihusisha na majungu kama Tundu Lisu au Lema!
Leo hii yuko Uchina akijituma kujaribu kuangalia jinsi gani anaweza kutoa mchango wake ktk kupunguza matatizo yanayomkabili MtanZania hii ni kinyume kabisa na dhana ya Viongozi wakuu wa chadema kama Lisu, Lema fisadi Lowasa ambao siku zote wanapiga makelele majukwaaani na kwenye vyombo vya habari lkn sijawahi kuona msaada wao kwa wananchi hata siku moja, mwenye ushahidi wa siku Tundu Lisu alisaidia watanzania wenye mahitaji auweke hapa!
Hapo chini akifanya mazungumzo na wenye Kampuni ili kwa kutumia mkopo wake wa Ubunge kununua Vitanda kwa ajili ya WatanZani wenye mahitaji
Kila La Heri Mbunge Joshua Nasari!
Ameamua kwenda kununua kiwandani kabisa pia labda kaona msd gharama zao ni kubwa kumbuka Na wenyewe wanachukua mzigo china . Wanakuja kuuza ili wapate faida. Kila la kheri NasarGharama ya kununua vitanda kutoka china ,mpaka hapa je angenunua vingapi KUTOKA msd ya hapa kwetu
Mwanachadema akishaanza kusifiwa na MACCM, sijui namuonaje!
By the way, sio wewe wala huyo NASSARY wako mnaojua majukumu ya mbunge.
Wabunge aina ya Nassary ndio wanaifanya serikali ya CCM iendelee kuwa goigoi , wanaacha majukumu yao ya kibunge na kujifanya kuwa wafadhili wa wananchi ili wachaguliwe tena na tena, Kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali ifanye kazi zake ipasavyo! na sio vinginenyo!
Kila Mbunge akifanya kazi yake ya msingi ipasavyo serikali itanyooka kama Rula!
Siku hizi hizo nafasi za vijana kugombea kupitia cdm watazisikia kwenye bomba......lowasa ana watu wakeUnafikiri angekuwa ccm angepewa nafasi ya kugombea kiti alichonacho???,ccm watu wema hawapewi nafasi,wabwatukaji ndio mtaji wao