Kwani yeye ana tofauti gani na hao waliokwenda?? Yeye alikuwa na majukumu mazito jimboni ndo maana akaahirisha na sio kwamba alikimbia vitisho. Kwani kule kuna vitisho gani zaidi ya hivi anavyokumbana navyo kwa hawa policcm wenu?
ZeMarcopolo,Mkuu, huu ni mwanzo wa kozi za JKT kwa viongozi.
Ninaamini kadri siku zinavyoenda kozi itazidi kuboreshwa kutokana na uzoefu unaopatikana.
Kumbuka hawa ni wawakilishi wa majimbo ambao wanatakiwa kuwepo kwa wananchi wao, kwahiyo kuwaandalia kozi ya muda mrefu ni vigumu.
Watu wenye uzoefu inapaswa muichukulie hii kama changamoto na kuandika makala za kushauri jinsi ya kuiboresha kozi.
Yule mbunge aliyekumbia kozi kwa kusikiliza habari za kijiweni sio mzalendo. Kwanza inatia aibu kuona mbunge haliamini jeshi la nchi yake.
ZeMarcopolo,
..hivi katika maisha yako umepitia JKT au mgambo??
..JKT siyo chombo kipya, hili jeshi lipo miaka zaidi ya 30, kwa hiyo naomba uachane na visingizio vya kutokuwa na uzoefu.
..yeyote yule aliyepitia mafunzo ya JKT, na kuyazingatia, atakubaliana na mimi kwamba askari hawezi kufanya pass out parade akiwa MCHAFU-MCHAFU kama wale wabunge walivyokuwa wakionekana. Just from their appearance wanaonekana kwamba hawana nidhamu ya kijeshi, na hawakufuzu mafunzo yao.
..Kwa mtizamo wangu kama product ya mafunzo ya JKT ndiyo hiyo tuliyoiona, then wale walioamua kutohudhuria, kwa sababu zozote zile, hawana makosa yoyote.
NB:
..enzi zetu guard ya JKT ktk magwaride ya kitaifa ilikuwa ni inajumuisha vijana waliojiunga kwa mujibu wa sheria.
..makamanda wakuu wa JKT na JWTZ walikuwa na tabia ya kutembelea makambi kuona jinsi askari wanavyonolewa ktk mafunzo ya gwaride.
cc: Ogah, gobore, Moshe Dayan, Nyenyere
Huyu hapa
View attachment 88284
Hongera mswahili, "WAMEFUDHU MAFUNDHO" ukakamavu wiki tatu?! Geresha tupu!... ULIZA WALIOPITIA JKT kitambi lazima kipukutike!... Hao wanaenda na vitambi na kurudi navyo!... UKAKAMAVU GANI HUO?!
Aina hii ndio washauri wa Nassari waliomshauri akimbie JKT. Sasa wanataka kumpoza asiendelee kujilaumu. Too late...
Mkuu, ni kichekesho kuwaita service man na girl kabla hwajapasi ukuruta!
Huo ukuruta wenyewe hawakuuanza wala kuumaliza! Labda ukiniambia kuwa ilikuwa ni mafunzo ya JKT ya kisanii na kisiasa, hapo nitaamini.
Waulize vijana wetu ma-voluntia wanaokwenda siku hizi huko JKT. Wanafunzwa nini na kwa muda gani, kisha linganisha na huo usanii.
Kwa stahili hiyo unadhani wale watakaotakiwa kwenda (kutoka shuleni na vyuoni) kwa mujibu wa sheria mtawaambia nini kama wah. wabunge wamefuzu kwa muda mfupi hivyo?
Majukumu mazito
jimboni? Inaelekea wewe sio mfuatiliaji wa mambo! Nassari jimboni kwake
anatafutwa haonekani! Hujasoma thread ya malalamiko dhidi yake hapa JF?
Dogo sio mzalendo.
Wacha uzushi mkuu, hapo unapandikiza nini?Bora hata hajaenda manake angetusumbua 2015 wakiingia msituni kupigania haki za wakaskazini kama M23 ya Congo.
Source: Godless Lema.
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.
Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifuzu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.
Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefuzu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.
Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa waliopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...
Kuna kitu gani ambacho Nasari angeweza kukipata katika mafunzo haya tu, na si kwingine.
Something substantive please, not political PR na kuuza sura.
I mean I have never been a biig Nasari fan, and probably never will be, but on the real, haya mafunzo zaidi ya kuwa a big hoopla yana kipi cha ajabu?
Unakumbuka kauli ya Nassari kuwa anataka kanda ya Kaskazini ijitenge na ile kauli yake kuwa atamzuia Rais asikanyage Arusha?
Hizi kauli zinaonyesha wazi kabisa kuwa dogo anahitaji mafunzo haya kuliko mbunge yeyote. Haelewi maana ya Amiri Jeshi Mkuu ni nini na hana heshima kwa walinzi wa mipaka ya nchi. Alipaswa kuingia JKT wiki tatu ili ajifunze kuheshimu mtu anayeitwa Amiri Jeshi na kujifunza umuhimu wa kuheshimu wanaolinda mipaka ya nchi.
Kiujumla dogo hata kiapo alichokula pale Bungeni hajakielewa.
Niliomba kitu ambacho Nasari angeweza kukipata katika mafunzo haya tu. Na si kwingineko.
Kwa bahati mbaya hujanionyesha ni kwa vipi haya uliyoyasema yanapatikana katika mafunzo haya tu.
Mimi sijapitia JKT, lakini naweza kuelewa umuhimu wa Amiri Jeshi Mkuu kama nimeona nyaraka zote alizoletewa Seif Bakari, na heshima kwake inatakiwaje, halafu nika flip coin na kuponda umuhimu wa Amiri Jeshi Mkuu na haja ya kuwa na jeshi kama JKT kabisa like a Richard Rhodes disciple with Eisenhowerian tendencies on the emerging military-industrial complex.
Nasari is an airhead. Only another airhead would dispute that. Let's get that clear so nobody confuses my point.
Sitting out JKT is one of the best things he has done so far.
It is a waste. Of time, effort and resources.
Especially for an MP.
Unakumbuka kauli ya Nassari kuwa anataka kanda ya Kaskazini ijitenge na ile kauli yake kuwa atamzuia Rais asikanyage Arusha?
Hizi kauli zinaonyesha wazi kabisa kuwa dogo anahitaji mafunzo haya kuliko mbunge yeyote. Haelewi maana ya Amiri Jeshi Mkuu ni nini na hana heshima kwa walinzi wa mipaka ya nchi. Alipaswa kuingia JKT wiki tatu ili ajifunze kuheshimu mtu anayeitwa Amiri Jeshi na kujifunza umuhimu wa kuheshimu wanaolinda mipaka ya nchi.
Kiujumla dogo hata kiapo alichokula pale Bungeni hajakielewa.