Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.
Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifudhu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.
Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefudhu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.
Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa walioopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...
Kaka, halima yuko busy na kutekeleza ahadi jimboni. Dogo Nassari analeta mambo ya uanaapolo. Hamuwezi msomi Halima yule.
Majukumu mazito jimboni? Inaelekea wewe sio mfuatiliaji wa mambo! Nassari jimboni kwake anatafutwa haonekani! Hujasoma thread ya malalamiko dhidi yake hapa JF?
Dogo sio mzalendo.
Ni kweli siku ile Nasari ndo aliwabeba wabunge washabiki wa Simba
Khaaa,
we kichwani Mzima kweli wewe????
Acha umbea wa kike, kwani wewe ni dume jike? Alidanganya wapi kuwa kaenda JKT? Mbona aliwaambia waliomchagua kuwa hawezi kwenda JKT kwa sababu za majukumu ya jimboni na hata akajitokeza JF kuthibitisha kuwa hatokwenda JKT. Au unatafuta mume?
Sawa ShemejiKaka, halima yuko busy na kutekeleza ahadi jimboni. Dogo Nassari analeta mambo ya uanaapolo. Hamuwezi msomi Halima yule.
Mengine nakuunga mkono, inawezekana hayakufanyika kwa muda kuwa mfupi, ila nasikia Mh.Silinde amekuwa Service man bora wa Renji na amepewa zawadi ya kulenga shabaha, nina wasiwasi na Lusinde, Esta Bulaya kapata zawadi kuwa sevice girl - msafi kuliko woteMkuu, ninaimani kuwa katika maisha yako hujawahi kukanyaga smati eriya yoyote ya kambi yoyote ya JKT, vinginevyo usingethubutu kusema eti, waheshimiwa wamefuzu mafunzo ya JKT.
Wamepiga kwata 34 hao? Wanajua kushika, kuisambaratisha, kuisafisha na kuirudishia bunduki hao? Wamekwenda renji hao? Wamewahi kwenda gadi katika stratejik eriyaz au saits na rifle iso risasi, risasi anakuwanazo gadi kamanda?
Mkuu, ninawaheshi wahe. hao na ninawapongeza kwa walilolifanya, lakini naamini wamemaliza orientation tu na siyo kufuzu.
Hehehe, Ukiwa Gamba na akili zote zinaganda, nakwambia hii kauli leo kwa Mara ya Pili Kiazi wewe.kichwa changu siyo kama chako pimbi wewe badala ya kuleta hoja za maana unaongea ubwawa si bola ukaimbe taarabu kwa isha mashauzi patakufaa
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.
Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifudhu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.
Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefudhu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.
Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa walioopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...
mleta madaàtakuwa bi kiroboto mke wa nasari..
kichwa changu siyo kama chako pimbi wewe badala ya kuleta hoja za maana unaongea ubwawa si bola ukaimbe taarabu kwa isha mashauzi patakufaa
Mengine nakuunga mkono, inawezekana hayakufanyika kwa muda kuwa mfupi, ila nasikia Mh.Silinde amekuwa Service man bora wa Renji na amepewa zawadi ya kulenga shabaha, nina wasiwasi na Lusinde, Esta Bulaya kapata zawadi kuwa sevice girl - msafi kuliko wote
Muligombea bibi na akakuzidi kete unataka Nasari aishi maisha yako we vipi mwanaume mbeya , utalazimishwa usukume chapati ebo walioacha kwenda wengine hujawaona ila huyo tu