Mbunge Nasari Anajuta...

Mbunge Nasari Anajuta...

ZeMarcopolo

Platinum Member
Joined
May 11, 2008
Posts
14,279
Reaction score
7,681
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.

Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifuzu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.

Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefuzu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.

Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa waliopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...
 
Bora hata hajaenda manake angetusumbua 2015 wakiingia msituni kupigania haki za wakaskazini kama M23 ya Congo.
Source: Godless Lema.
 
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.

Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifudhu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.

Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefudhu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.

Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa walioopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...

Kwani yeye ana tofauti gani na hao waliokwenda?? Yeye alikuwa na majukumu mazito jimboni ndo maana akaahirisha na sio kwamba alikimbia vitisho. Kwani kule kuna vitisho gani zaidi ya hivi anavyokumbana navyo kwa hawa policcm wenu?
 
pole sana kijana kwa kuendelea kupiga propaganda...ila huna la kufanya kwa sababu ulishakula vya watu na kukubali utumwa...kama binadamu wa kawaida lazima kuna muda huwa unajisikia vibaya kwa mambo unayo yafanya.. pole kijana
 
Kwani yeye ana tofauti gani na hao waliokwenda?? Yeye alikuwa na majukumu mazito jimboni ndo maana akaahirisha na sio kwamba alikimbia vitisho. Kwani kule kuna vitisho gani zaidi ya hivi anavyokumbana navyo kwa hawa policcm wenu?

Majukumu mazito jimboni? Inaelekea wewe sio mfuatiliaji wa mambo! Nassari jimboni kwake anatafutwa haonekani! Hujasoma thread ya malalamiko dhidi yake hapa JF?

Dogo sio mzalendo.
 
Mwigulu hata angekaa kambini mwaka mzima hauwezi ukakamavu wa Joshua. Hukumwona siku ile anachezea timu ya soka ya Bunge? Nassari alionyesha kuwa ni mtu wa mazoezi mwanzo mwisho.
By the way, hivi wiki tatu ndio mafunzo ya kijeshi? Hata wale chipukizi wa CCM wanajifunza muda mrefu zaidi
 
Kwani yeye ana tofauti gani na hao waliokwenda?? Yeye alikuwa na majukumu mazito jimboni ndo maana akaahirisha na sio kwamba alikimbia vitisho. Kwani kule kuna vitisho gani zaidi ya hivi anavyokumbana navyo kwa hawa policcm wenu?
Si ndio hapo utakaposhangaa,
 
sasa hao nao utasema wamefuzu mafunzo na wamepata ukakamavu,hahahahaha mi naona walienda kuujulisha umma kwamba kuna kitu kinaitwa jkt
 
Hayo mafunzo ya wiki tatu hana hata haja ya kujuta maana anaweza akayafanya mwenyewe nyumbani! watu walikuwa wanasota mwaka mzima baadae wakapunguza ikawa miezi sita sasa wewe wiki tatu unaona kuna mafunzo gani ya kutosha yamefanyika kama sio kuuza sura!
 
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.

Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifudhu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.

Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefudhu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.

Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa walioopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...

Wanakungoja ukatoe ushahidi wa Denis Masaky na ludovick achana na cheap popularity Nassari ni Nassari katika wajihi wake hakuihitaji kwenye maisha yake
 
Hayo mafunzo ya wiki tatu hana hata haja ya kujuta maana anaweza akayafanya mwenyewe nyumbani! watu walikuwa wanasota mwaka mzima baadae wakapunguza ikawa miezi sita sasa wewe wiki tatu unaona kuna mafunzo gani ya kutosha yamefanyika kama sio kuuza sura!

Afadhali wiki tatu kuliko wiki sifuri.

Dogo aliingia mitini jimboni, watu wakadhani yuko JKT. Sasa picha za wote waliofudhu zimewekwa hadahrani kwa hiyo hawezi tena kuwadanganya wadau kuwa alikuwa JKT.
 
Nimeshaamini kua kuna wanaume wanavaa suruali mchana halafu usiku wanavaa Sketi! Huu usemi unakuhusu wewe mleta huu Uzi hapa!
 
  • Thanks
Reactions: PSM
Hahahahahahahahaha kamanda kausoma mchezo kaona maji marefu, ila sasa anajuta!
Ajute kwa lipi nyie si mumeenda kwa show off hakuna kitu umefanya kitaifa wewe ,ni show off tu yaani wiki tatu umeona mwezi mwezi kwani uienda mwenyewe kule mbona walioeenda hawajaweka matangazo vifuani kuna kitu ulikosa utotoni unacompasent sasa kisaikolojia unahitaji mshauri nasaha wa kukuweka sawa kidogo
 
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.

Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifudhu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.

Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefudhu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.

Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa walioopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...

MKUU sidhani kama umeushirikisha ubongo wako kuandika kitu kama hiki. Suala la Nassari kusitisha uamUzi wake wa kwenda JKT, NAAMINI haukutiokana na sababu ulizoziweka hapa....LABDA TU KAMA WEWE NI MWENZA WAKE
Naamini hajapoteza chochote kwa yeye kutokuhudhuria hayo unayoyaita mafunzo.
 
Afadhali wiki tatu kuliko wiki sifuri.

Dogo aliingia mitini jimboni, watu wakadhani yuko JKT. Sasa picha za wote waliofudhu zimewekwa hadahrani kwa hiyo hawezi tena kuwadanganya wadau kuwa alikuwa JKT.
Muligombea bibi na akakuzidi kete unataka Nasari aishi maisha yako we vipi mwanaume mbeya , utalazimishwa usukume chapati ebo walioacha kwenda wengine hujawaona ila huyo tu
 
Back
Top Bottom