Wanafunzi wa elimu ya awali, wakifundushwa na mwalimu Juliana Joseph hukuwakiwa wamekaa sakafuni na juu ya paa kukiwa wazi katika moja ya madarasa ya shule ya msingi, Unyaghumpi vilivyozuiliwa kujengwa na Mbunge Tundu Lissu kwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha na kuwaambia fedha zote zitatoka serikalini, imeelezwa na wananchi wa jimbo hilo kufuatia miradi mingi ya maendeleo kukwama kwa miaka minne sasa, na kurudisha nyuma maendeleo!
Je, ni kweli CHADEMA wanazuia maendeleo katika majimbo yao?