Mbunge na diwani CHADEMA, walalamikiwa na wananchi kwa kukwamisha maendeleo kwa miaka 4

Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,815
2,813
18.jpg

Wanafunzi wa elimu ya awali, wakifundushwa na mwalimu Juliana Joseph hukuwakiwa wamekaa sakafuni na juu ya paa kukiwa wazi katika moja ya madarasa ya shule ya msingi, Unyaghumpi vilivyozuiliwa kujengwa na Mbunge Tundu Lissu kwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha na kuwaambia fedha zote zitatoka serikalini, imeelezwa na wananchi wa jimbo hilo kufuatia miradi mingi ya maendeleo kukwama kwa miaka minne sasa, na kurudisha nyuma maendeleo!

Je, ni kweli CHADEMA wanazuia maendeleo katika majimbo yao?
 
Bora hili,wadau hebu wekeni picha ya madarasa ktk jimbo la Waziri Kawambwa.

Ccm wamesababisha umasikini mpaka kwenye elimu.

Miaka 50 ya serikali ya ccm watoto wanakalia chini..mama yangu nchi yangu.

CCM KWA HALI HII SIO WA KUPEWA KURA TENA,IMESHAZEEKA.
 
Huyu ndiye Lisu yeye ni vurugu na kunywa pombe hana na hajui maendeleo yanaletwa vipi kwenye jamii.
attachment.php
 
Hivi mnadhani Lisu ni mtu wa maana kwenye hii nchi hana kitu ni mtu fulani mleta shida na kelele tu.
 
2Q==

Mbunge Tundu Lissu pamoja na kelele zote hili darasa lipo kwenye jimbo lako.
Umeshindwa vipi kuwasaidia hawa wakati watoto wako wanasoma nje ya nchi!

Inakuwaje unazuia wananchi kuchangia maendeleo yao?????????????

shule ya msingi

CCM sisi bajeti yetu twaipeleka kwenye sherehe za muungano bhana, kwani kwa gharama zote tulizotumia kwenye muungano tungeshindwa kujenga madarasa na kununua madawati?. ccm sisi ni wazee wa kunywa urabu na kucheza kiduku kama mh luku ya tanesco na mheshimiwa nyani wa Tyson..
 
Hivi mnadhani Lisu ni mtu wa maana kwenye hii nchi hana kitu ni mtu fulani mleta shida na kelele tu.

achilia mbali yote mbona Lisu kavaa blauzi au ni macho yangu? mapunga ni wengi sana nchii hii sikutegemea.

attachment.php

kitu cha tusker baridiiii na kimodo cha hatari pembeni.
 
achilia mbali yote mbona Lisu kavaa blauzi au ni macho yangu? mapunga ni wengi sana nchii hii sikutegemea.

attachment.php

kitu cha tusker baridiiii na kimodo cha hatari pembeni.

Siyo kama yule anayebaka wanafunzi wa shule ya msingi na kuwaambukiza gono,kaswende,dengue na ile eeeerrr wanaita nini vile?...Uki......i
 
18.jpg

Wanafunzi wa elimu ya awali, wakifundushwa na mwalimu Juliana Joseph hukuwakiwa wamekaa sakafuni na juu ya paa kukiwa wazi katika moja ya madarasa ya shule ya msingi, Unyaghumpi vilivyozuiliwa kujengwa na Mbunge Tundu Lissu kwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha na kuwaambia fedha zote zitatoka serikalini, imeelezwa na wananchi wa jimbo hilo kufuatia miradi mingi ya maendeleo kukwama kwa miaka minne sasa, na kurudisha nyuma maendeleo!

Je, ni kweli CHADEMA wanazuia maendeleo katika majimbo yao?
kwa hiyo hiyo miradi ya maendeleo serikali ilipanga kwa kutegemea michango ya wananchi?na kodi za wananchi wanazokusanya wanapeleka wapi? hayo mambo watu wa Arusha tuliisha achananayo tunaibana serikali kutumia kodi zetu kutuletea maendeleo ikibidi mpaka maandamano
 
18.jpg

Wanafunzi wa elimu ya awali, wakifundushwa na mwalimu Juliana Joseph hukuwakiwa wamekaa sakafuni na juu ya paa kukiwa wazi katika moja ya madarasa ya shule ya msingi, Unyaghumpi vilivyozuiliwa kujengwa na Mbunge Tundu Lissu kwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha na kuwaambia fedha zote zitatoka serikalini, imeelezwa na wananchi wa jimbo hilo kufuatia miradi mingi ya maendeleo kukwama kwa miaka minne sasa, na kurudisha nyuma maendeleo!

Je, ni kweli CHADEMA wanazuia maendeleo katika majimbo yao?
aibu ya chama tawala. hili ni lenu msimsingizie LISU. hebu mpeni pesa za serikali muone kama shule madawati dawa za hospitali n.k kama hayatajengwa na kusimamiwa ipasavyo. tatizo la ccm hamna uwezo wa maamuzi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi. hili suala la shule kwa mb lisu si la kwake peke yake hata ukienda kwa mb KOMBA, na kwengineko ambako ccm inashikilia hali ni hiyohiyo hivyo asilaumiwe LISU laumu CCM na serikali yake.
 
Hakuna cha maana ikungi/sgd mashariki alichofanya lissu tngu awe mbunge
 
Lissu hajui kazi ya Mbunge ni nini!

Wewe unajuwa kazi za mmbunge ni zipi?
Kwa hiyo bwana Wash Room ( MSALANI )tangu tulipothubutu (1961) tukaweza (1970s)
na tukasonnga mbele (2005 -2015) hilo jimbo halijawahi kuwa na mmbunge??
 
Last edited by a moderator:
MASKINI SERIKALI YA CCM......... YANI INAENDESHA NCHI KWA KUTEGEMEA MICHANGO YA WANANCHI... AIBUUUU... PTUUUU...... JAPAN CHINA USA UK nk nchi hizi haziombi wananchi wake michango nchi zinaendeshwa kwa KODI iliyokusanywa kwa umakini bila kumuathiri mwananchi. NYAMMB....AAAAFFFF NYIEEE....
 
CCM sisi bajeti yetu twaipeleka kwenye sherehe za muungano bhana, kwani kwa gharama zote tulizotumia kwenye muungano tungeshindwa kujenga madarasa na kununua madawati?. ccm sisi ni wazee wa kunywa urabu na kucheza kiduku kama mh luku ya tanesco na mheshimiwa nyani wa Tyson..

Mnatafuta wa kumfanya scapegoat wenu kwa makosa makosa mliyoyafanya wenyewe.Nchi inapakana na bahari,tunaweza kabisa kuvuna pesa nyingi mno kupitia uvuvi na bandari;Nchi ina madini mengi ajabu kama vile Tanzanite, dhahabu,almasi,chokaa;Nchi ina vivutio ya utalii vingi;Nchi ina ardhi nzuri yenye rutuba;Nchi ina watu watulivu lakini wachapa kazi lakini tunachokipata ni hizo shule zenye mazingira duni kabisa zisizoendana na karne tunayoishi.CCM mlaaniwe kwa kuzitumia rasilimali za taifa vibaya.
 
achilia mbali yote mbona Lisu kavaa blauzi au ni macho yangu? mapunga ni wengi sana nchii hii sikutegemea.

attachment.php

kitu cha tusker baridiiii na kimodo cha hatari pembeni.
Hii bar ni ile bar ukitoka tu hospitali ya mirembe, kama unakuja mjini iko kulia apo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom