Mbunge Mteule Wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenani (CHADEMA) awasili Bungeni mapema leo na kujisajili kwa mujibu wa taratibu

Yuko mbele mbele sana, sijui ushamba au kitu gani, ndio maana akahudhuria mpaka sherehe za kuapishwa jiwe.

Mtu wa namna hii huwezi kumpa ushauri wa tofauti na kwenda Bungeni akaufuata, na anaweza kuwa ndio anatumiwa na CCM kuwalainisha wabunge wengine wa CHADEMA wakubali teuzi za viti maalum.
 
Kwani amechaguliwa na CHADEMA au wananchi. Wananchi wamechagua mtu Kama mtu na sio chama, hata angekuwa CCM angechaguliwa, hata TLP...sijui unaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…