Wakubwa mimi niko against wizi wa kura, na imeniuma sana ukizingatia jimbo nililopiga kura na mbunge niliyempigia walimchakachulia matokea yake, lakini hii ishu ya watu kuwawinda watu na kuwakimbiza maeneo yao ya kuishi si sawa kabisa na wala hatutakiwi kuishabikia kwa namna yoyote ile. NIna sababu zifuatazo:
1. Sio kila anayeshinda uchaguzi anapendwa na watu wote. This means hata pale unapopata zaidi ya 60% kuna 40% watakaoukuwa wameumia kwa njia moja au nyingine, hivyo wakiamua kuonyesha hasira zao kwa madai waliibiwa hata kama sio kweli hii nchi haitakalika
2. Hao watu wanaowinda hao walioshinda, dont tell me ni Karagwe nzima au Shinyanga mjini nzima, ni kikundi tu cha watu wachache naweza kuwaita BANDITS ndo wanafanya hayo, idadi inaweza kuwa 20 au 100, lakini tusipoangalia tunaambiwa ni wananchi wa jimbo husika kama vile ni wote.
3. Hii pia inaenda kwenye majimbo mengine ambayo huwa tunayasifia, kwamba wananchi wanawapenda viongozi wao. Mifano nimesikia kwa Mwakyembe Kyela na hata kwa Mwandosya Rungwe sijui magharibi, "wananchi" huwaita wale wanaotaka kuwapinga hawa mabwana either ndani ya chama au kwenye jimbo (kupitia upinzani) na kuwakaripia waache nia hiyo. Hawa tunaowaita wananchi ni kina nani??? Kama ni wananchi wote kwanini wana ogopa huyu mtu kugombea? si wangeacha then wamthibitishie kwamba huyu ndio chaguo lao kwenye sanduku la kura????? NI rahisi sana kwa mgombea kukodi hao ninaowaita BANDITS kuwadhalilisha na kuwatisha wapinzani wake ili tu apite bila kupingwa ambayo ni mbaya tu kama kuchakachua.
Nikishasema hayo, narudia kusema pamoja na kwamba siafiki matumizi ya wizi wa kura etc, lakini pia sintaafiki matumizi ya nguvu eti ya "wananchi" kuwatishia hao wanaosemekana walishinda kwa kuiba kura au kuwashindisha watu kwa kuwaibia kura. Tuangalie jinsi ya kurekebisha matatizo yetu kwa kutumia njia sahihi...
Ni jana nimetoka msibani Bukoba. Habari zinasema mbunge wa Karagwe hawezi kukaa jimboni kwake kuepuka hasira za wapiga kura. Migomba shambani kwake imekatwa na yeye amesafirishwa kwa escort ya polisi waliojizatiti kwa lolote mpaka Bukoba airport. Wababe wake wanadai hakushinda kwa haki. 😎
Tatizo si mbunge peke yake, ni system nzima iliyombeba. Kuanzia DC, RC, RPC, OCD, Msimamizi wa jimbo nk. Hao mapolisi wengine walikuwa wanatekeleza amri tu. Na kwakweli system ni mbovu kabisa na imelelewa hivyo tangu 1995.
Mwl Nyerere ndiye alisababisha yote haya pale aliposhindwa kuona ni vipi CUF itawale Zanzibar na CCM itawale serikali ya muungano. Tunakumbuka aliposhinikiza CCM itangazwe mshindi zanzibar. Tangia hapo CCM wakajua kuwa unaweza ukashindwa bado ukajitangaza mshindi na kwa kuwa unazo nguvu za dola basi hakuna atakayekusumbua - ni ubabe huhuo wanaouendeleza hadi sasa. Hakika iko siku historia itamhukumu Nyerere. Naomba vatican wachunguze kwa makini kabla ya kumtaja kuwa mtakatifu!
Tupatieni na majimbo mengine. Tandahimba mtwara mbunge amechomewa nyumba, gari la wapangaji wake, mama yake yuko mahutihuti baada ya kukatwa panga kichani, mikorosho imeangamizwa kwa kukatwa. Yeye kalala mbele bongo. Ajabu mabomu ya machozi yalitumika lakini watu wakagoma kulia.
Well said!Tatizo si mbunge peke yake, ni system nzima iliyombeba. Kuanzia DC, RC, RPC, OCD, Msimamizi wa jimbo nk. Hao mapolisi wengine walikuwa wanatekeleza amri tu. Na kwakweli system ni mbovu kabisa na imelelewa hivyo tangu 1995.
Mwl Nyerere ndiye alisababisha yote haya pale aliposhindwa kuona ni vipi CUF itawale Zanzibar na CCM itawale serikali ya muungano. Tunakumbuka aliposhinikiza CCM itangazwe mshindi zanzibar. Tangia hapo CCM wakajua kuwa unaweza ukashindwa bado ukajitangaza mshindi na kwa kuwa unazo nguvu za dola basi hakuna atakayekusumbua - ni ubabe huhuo wanaouendeleza hadi sasa. Hakika iko siku historia itamhukumu Nyerere. Naomba vatican wachunguze kwa makini kabla ya kumtaja kuwa mtakatifu!
Yule mzee alikuwa jasusi,kabebeshwa sifa asizostahili kuwa nazo,Mandela, Arafat wana Nobel Prize how about him? ni kwa sababu ya tabia za kijasusi alizokuwa nazo!Nakubaliana na wewe maamuzi ya nyerere yanatutesa na mimi naamini nyerere hawezi kutangazwa mtakatifu hata siku moja maana machungu wanayopata watanzania leo ni matunda ya maamuzi aliyoyafanya nyerere wakati ule .Fikiria kama angeruhusu demokrasia leo Tanzania ingekuwa mfano wa kuigwa africa.Tanzania tunayo kazi ya ziada kuondoa utamaduni aliotuaCHIA BABA WA TAIFA.Hii mada yako KAMAKABUZI ILETE KAMA POST TUJADILI KWA KIREFU.UMETUFUMBUA SANA.KARIBU TENA