Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Ni jana nimetoka msibani Bukoba. Habari zinasema mbunge wa Karagwe hawezi kukaa jimboni kwake kuepuka hasira za wapiga kura. Migomba shambani kwake imekatwa na yeye amesafirishwa kwa escort ya polisi waliojizatiti kwa lolote mpaka Bukoba airport. Wababe wake wanadai hakushinda kwa haki.