Hii posts na ile nyingine tulishaomba zifutwe, MODS mko wapi?
Naona BAVICHA wamechachamaa kumuandama AFANDE.
Hii posts na ile nyingine tulishaomba zifutwe, MODS mko wapi?
Naona BAVICHA wamechachamaa kumuandama AFANDE.
Kwa siasa za namna hii , CHADEMA mnapaswa kupuuzwa.
Mnaacha kupambana na mafisadi, kila siku ni habari za afande sele,
mara zito kabwe, mara ACT sijui wamefanya hivi. Haitasaidia kitu.
Hii picha inabidi kuikuza na kuiprint kwenye bango kubwa akianza tu kampeni tunazunguka nayo
ACT - WAZALENDO....
Chama kubwa...!