hashindani na mkono bali atazishinda changamoto za maji na afya zilizomshinda mkono .Kwani huyo Yusuph Kazi ana uwezo gani wa kushindana na Mkono?
Butiama ni Mkono, na Mkono ni Butiama.
mkono ana pesaa atahonga wananchi!!!
Kati wabunge wa CCM ambao hawatasumbuka kupiga Kampeni ni Pamoja na mkono, CHADEMA mnapoteza muda bure