Mbunge matatani kwa kuchana hotuba ya Rais

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
3,395
Reaction score
1,112
Octoba 2012 utaingia katika rekodi za Makamu wa Rais wa chama cha upinzani cha Zambia cha MMD,Dk.Michael Kaingu,kuwa mwaka mbaya kwake.Licha ya kujikuta matatani kwa kuchana hotuba ya Rais Sata,bintiye naye amenaswa katika kashfa ya kutengeneza kanda ya video ya ngono ya dakika 16. Dk.Kaingu amewahi kuwa waziri na ambaye kwa sasa ni mbunge,alipigwa marufuku kuingia vikao vya bunge kwa wiki mbili kwa kosa la kuchana vipande hotuba ya Rais Michael Sata (zambia) ndani ya kikao cha bunge. Akizungumza hivi karibuni baada ya Rais Sata kumaliza kulihutubia bunge,Dr.Kaingu aliiponda hotuba yake na kuiita "ni ya aibu", na kisha kuichanachana vipande na kuvitupa chini. Kwa upande mwingine,bintiye Iris aliyetimuliwa katika chuo alichokuwa anasoma (Zambia Institute of Chartered Accountants [ZICA] Iris Kaingu alikamatwa na kufikishwa mahakamani, alitiwa hatiani na kutozwa faini ya kwacha milioni 10 sawa na dola millioni 2,000 kwa kosa la kutengeneza video ya ngono (Source:Raia mwema).Tunajifunza nini ?
 
mkuu hapo bila shaka ni dolla 2000....na kwacha milioni 10 sawa na 2,930,000 sh/=
 
Back
Top Bottom