Huyu ni mwongo wa kupuuzwa. Anataja tu kuwa eti watalii wameongezeka na mapato yameongezeka.
Ukweli ni kwamba mwaka 2015 ukuaji wa mapato ya utalii ulikuwa ni 15% kwa mwaka. Lakini mwaka 2019, ukuaji wa mapato ya utalii ulishuka mpaka 3.6%.
Mwanauchumi mzuri hutaji absolute increment bali unataja growth rate.
Wakati wote wa utawala wa Hayati, gowth rate kwenye kila sekta imeanguka. Na hiyo ni kwa sekta zote za uchumi. Na hiyo ndiyo sababu ya mashabiki wote wa utawala wa marehemu, hutawasikia wakitaja growth rate, maana ni aibu tupu.