Mbunge Lucy Mayenga apata ajali!

Ochu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2008
Posts
976
Reaction score
49



pole dada yetu
 
pole sister,

lakini, hivi hawa wa viti maalum ni wabunge kweli? manake qualifikesheni yao kubwa ni mashine whether used or brand new!

kweli ccm wanafanya madudu!
 
pole sana dada,tibiwa muhimbili usiende nje ya nchi.
 
Mungu masaidie apone pamema. Yuko hospital au amerehusiwa?
 
pole sana!
mungu akujaalie
 
KUna haja ya kufanya utafiti wa kina kujua kuna nini kati ya Gairo (kuanzia maeneo ya Pandambili) had Dodoma kuna nini hasa kinachosababisha ajali mara kwa mara katika maeneo hayo
 
.....Habari zaidi zinapasha kuwa Lucy ndiye aliyekuwa akiendesha hiyo gari Toyota Landcruiser VX yenye namba T 681 BCV.......!
Acheni ubahiri, tunavibaka wengi sana mtaani ambao wanaweza kuwa madereva wazuri tu......toeni ajira kwa vijana!

Anyway.....pole sana!
 
Mungu amsaidie apone mapema aje tushiriki ujenzi wa taifa.
 
Acheni ubahiri, tunavibaka wengi sana mtaani ambao wanaweza kuwa madereva wazuri tu......toeni ajira kwa vijana!

Anyway.....pole sana!

hana uhakika na ulaji ndani ya jumba lile linalotema fedha.

halafu wewe, vibaka wale wakimbaka je? totz yenyewe si unaona inavyoita?
 
Pole sana - Mungu akujalione haraka kabla ya hekaheka za 2010 kuanza

Kwa nini? Au ndiyo Ajali haina kinga!

Lucy Mayenga, amepata ajali ya gari usiku wa kumkia leo
Lucy ndiye aliyekuwa akiendesha hiyo gari
 
Hivi jamani mahela yote hayo na maposho bwelelee hata kuajiri dereva nayo ishu

any way augue pole
 
Kanusurika na utabiri wa Sheik Yahya!!!

Pole sana Lucy!
 
Kanusurika na utabiri wa Sheik Yahya!!!

H ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha acheni vituko jamani eheeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…