roboka kafwekamo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 821
- 451
Ni pale tundu lisu anahojiwa na DW anapojibu mahakama haijamkuta na kosa ,halafu asema wakili wa serikali kama atafungua mashita .Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yaka haikumuona hana kosa aliloshitakiwa nalo.
Kwa nini usimfungulie kesi DAB kwa kufoji vyeti na kutumia jina ambalo si lake la Paul Christian Makonda ili haki itendeke. Mimi si mwanachama wa Chadema.Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yaka haikumuona hana kosa aliloshitakiwa nalo.
Kama unazijua sheria kata rufaa. Ukione cha moto hapo kesi imeisha acha kutoa povu.Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yaka haikumuona hana kosa aliloshitakiwa nalo.
Umeanza vizuri lakin umevurunda.... kama hukubaliani na maamuz ya mahakamani.. kaweke pingamizi... kulalamika jf hakuto saidia kituKwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yaka haikumuona hana kosa aliloshitakiwa nalo.
Kama huyu jamaa hapatoa ujinga wewe. ukiona mtu anatuka kwenye mitandao ujue upstairs yake iko ovyo.
Mhalifu ni Daud Albert Bashite na yuko huru tena akilipwa kwa kodi zetu! Huyo ndio anatakiwa kua ukongaKwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yaka haikumuona hana kosa aliloshitakiwa nalo.