Mbunge Lema Anena ya Moyoni

Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

Wap wewe mganga njaa tu..ww ni janga kwa taifa kisa ulafi na njaa zako za buku 7..tuachie arusha yetu na mbunge wetu kamanda lema..
 
kila siku nimesema hila za ccm ni pembe la ngombe hazifichiki tena,na kila wanapofanya hila dhidi ya chadema lazima ile kwao lakini kwa kuwa ni sikio la kufa wanashindwa kuliona hilo
 
"Nimeshinda kesi tena! Kwa kweli Mungu anatupenda sana na tutaendelea kupambana kutafuta haki bila hofu. Miili yetu na nafsi zetu zimepoteza maumivu kwa sababu ya mateso yaliyojaa uongi na hila. Hata hivyo tutaendelea na kelele za kupigania haki bila kurudi nyuma huku uvumilivu ukiwa nguzo yetu kuu"

Haya ni maneno ya Mh Godbless Lema asubuhi ya leo katika viwanja vya Mahakama Kuu Arusha mara baada ya kushinda kesi
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
hivi watu wa arusha ni mafala kama unavyofikiri pale kuna watu makini mno sijapata kuona , arusha siyo tabora upinzani kwao ni shubiri ingawa sasa hivi naona kama wanfunguka kidogo
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

sasa mbona haujaongea point, hoja yako haina hoja ni kioja . Sasa haibu aliyotupa ni ipi?
 
Mbakaji mkubwa hamtaki mnaacha na jambaz tena international one day u wil prove dis
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

Nilitaka kushagaa. Usipewe "LIKE" na wajukuu wa "P-U-M-B-A-F-U + DHAIFU.. kwa hazi hiyo!
 
lema anatia aibu wana arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; huyo lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

apa arusha kosa kubwa ni kuichagua ccm kwaiyo imekula kwako.
 
Aibu tupu!
Mulongo anahitaji maombi maalum, maana nahofia kuna siku ataokota makopo!

Arusha mkuu wa kaya kawadharau sana kuwapa huyo mkuu wa mkoa mtu ya maeneo ya kikwere.
 
Ivi mara ya mwisho alirudi lini uk. Baada ya ile kesi ya kubaka au ndio anaogopa RB yake wasije mchomoa ughaibuni du alidhani bongo ushaidi unapotea mara moja nenda uone.
 
Kisheria mahakama haikupata hata nafasi ya kujiridhisha ila kwa kesi kufutwa na upande wa mashtaka kuridhika ni tafsiri ya kuwa wao kama walalamikaji wanakubaliana na kauli kuwa ni kweli mkuu wa mkoa alienda kama anakwenda kwenye send off party

Ha ha wewe rafiki hiyo avaat yako kiboko ...all in all msg imefika kwa Mulongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…