PostGE2025 Mbunge Kunti Yusuph Majala: Tumeangamiza wasiokuwa na hatia kwa tamaa zetu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
" Niwaombe watanzania wenzagu hii nuru tuliyonayo si kitu cha bedha wala siyo kitu cha kutikisa na kwenda kujaribu, na wasahili wanasema sumu haijaribiwi kwa kuonja tumejionea sisi wenyewe yaliyotokea. Wapo waloathirika hata ambao walikuwa hawahusiki na hayo mambo lakini tumeenda kuangamiza wasiokuwa na hatia kwa tamaa zetu sisi ama mambo yetu ambayo tunayatamani kwenye maisha yetu haya ya kwaida" - Amesema Mbunge Kunti Yusuph Majala leo Januari 27, 2026 katika Bunge la 13, Mkutano wa 2, Kikao cha 1.

Bu
Hatorudi Bunge lijalo.
Bunge lijalo hata Mwenyekiti wako wa Chama hata kuwa influence ya Kupick hao aspirants, Kama mtu uko assured kuwa hakuna post za uwaziri basi ni Vyema ugeuke upande wa wananchi tu uko mbele Kuna benefits nyingi na Ubunge uzuri hautumbuliwi ovyo kama Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho au Pamba
 
Vipi kama chama kikamvua uanachama Wake, je ataendelea kuwa na sifa ya kuwa mbunge?
 
Hii kauli, lazima atatoka hadharani. Kudai kuwa amenukuliwa vibaya na kutoa ufafanuzi.
 
Amevunja Nazi saa saba mchana kariakoo.

KUnti hapo ajiandae kuachia ubunge wa mchongo
 
Bu

Bunge lijalo hata Mwenyekiti wako wa Chama hata kuwa influence ya Kupick hao aspirants, Kama mtu uko assured kuwa hakuna post za uwaziri basi ni Vyema ugeuke upande wa wananchi tu uko mbele Kuna benefits nyingi na Ubunge uzuri hautumbuliwi ovyo kama Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho au Pamba
Bado atakuwa Mwenyekiti.... Mkapa aliwaambia wabunge waliokuwa wanapinga NetGroup Solution mwaka 2003, aliwaambia 2005 watakwenda home... na walikwenda 😂 😂 😂
 
Hu
" Niwaombe watanzania wenzagu hii nuru tuliyonayo si kitu cha bedha wala siyo kitu cha kutikisa na kwenda kujaribu, na wasahili wanasema sumu haijaribiwi kwa kuonja tumejionea sisi wenyewe yaliyotokea. Wapo waloathirika hata ambao walikuwa hawahusiki na hayo mambo lakini tumeenda kuangamiza wasiokuwa na hatia kwa tamaa zetu sisi ama mambo yetu ambayo tunayatamani kwenye maisha yetu haya ya kwaida" - Amesema Mbunge Kunti Yusuph Majala leo Januari 27, 2026 katika Bunge la 13, Mkutano wa 2, Kikao cha 1.
Huyu ni zao la BAWACHA, naona hapa amejisahau kuwa alishahamia CCM. Awe makini wasije kumpoteza
 
Back
Top Bottom