johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,875
Mbunge wa Cuf mh Katani amesema wakulima wa korosho mikoa ya kusini wanateseka baada ya serikali kushindwa kuwalipa hadi sasa.
Katani amemtaka Spika asitishe malipo ya posho za wabunge wote kwa siku tatu tu aone kama kuna mbunge ataingia bungeni Ndugai amemjibu kuwa swala la kusitisha posho haliwezekani kabisa.
Aidha Katani amesema swala la Kangomba linafanywa siasa kwani ni jambo la halali kabisa....... yaani barter trade unanipa pembejeo nakupa korosho.
Katani amemtaka waziri wa kilimo kuhakikisha wakulima wa korosho wanalipwa fedha zao haraka kwani huu ni msimu wa kupulizia dawa mikorosho.
Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!