Mbunge Joseph Mbilinyi "Sugu" : Kama kuna mtu ana mpango wa kugombea Mbeya Mjini asahau, wana Mbeya wameshafanya uamuzi

Naona mjinga ni wewe usiye kuwa na uelewa wa Mbeya.
Kamuulize Jiwe aliimbishwa nyimbo za kuisifu cdm pale mwanjelwa
Ahahahaaaaa wewe bado umeganda na akili ya 2015??? Pooooleeee subiri tumpokee jembe wiki ijayo mje muone kama kunawakuimba MABADILIKOOOO LOWASAAAA........... Watu wanajuta kupoteza muda wao kuzungusha mikono saizi ni toba tu...... Jitokezeni wana CHADEMA, yaani mkionesha huo ujasiri wa kuitamka CHADEMA mbele ya mh. Raisi basi nitampa kura sugu2020.
 
Mmeanza kutengeneza reasons mapeeeema. Tena hapiti, yeye anafikiri kajimilikisha hilo jimbo? Democrasia ni kupisha mwingine ajaribishe kutupeleka wana Mbeya............ Mbeya ni jiji lakini ukija mbeya pako vululu vululu, yeye kipaumbele cha ni vyoo TU. Mwakani tunamsahau kama kuna MTU anaitwa SUGU.
Hao hao ndio wanajiita mabingwa wa kuomba demokrasia ughaibuni....loh

Wapinzani wa kitanzania ni shida kweli kweli.
 
Wewe upo koromitje huko usukamani mambo ya Mbeya utayaweza wapi wewe
Ahahahaaaaa wewe tulia, Mbeya ni kwetu ila panaboa sana saizi jiji siyo jiji utafikiri tulipewa tu kumbe waliochaguliwa na wananchi kwanza wenyeviti wa mitaa, madiwani, Mbunge mpaka Mayor hakuna wanachoifanyia Mbeya kazi kujitapa tu kwenye ujenzi wa vyooo vya shule za msingi................ Hatudanganyiki 2020 kitaeleweka kwanza uchaguzi wa serikali za mitaa hatufanyi makosa, mlitudanganya tukawaamini na lowasa wenu kumbe hivyo kabisa. Mtusamehe.
 
Kwenu ni kijijini Mbeya ya koromitje

Mh Sugu ndiye mbunge wa Mbeya
Amini hivyo hivyo kimakosa na ndiyo maana unaamini kimakosa pia kuwa SUGU ndiye mbunge wa maisha wa jiji la mbeya, kaa hivyo hivyo
FB_IMG_1556044547688.jpeg
 
Mh Sugu ndiye mbunge wa Mbeya View attachment 1080586
Ndo nyie mnaogopa kupoteza kwa vibarua vyenu pale desderia hotel anayoimiliki huyo msanii wenu........ Msaniii kwenye kila kitu yaani, hata vitu vya msingi kwa wana MBEYA yeye analeta usanii tu. Ndo basi tenaaaaaa. Akipanda jukwaani anaongea anafikiri wote wahuni, utasikia "MASELA INAKUWAJE?????? " hapo kamaliza, wakati hapo kuna wazee na heshima zao.
 
Tutapambana nao kama tulivyo zoea kupambana nao miaka yote kwani wameanza leo kutaka kupora ushindi wa mh Sugu?
Ushindi?
Hivi mbeya 2020 imeishafika na mmefanya uchaguzi?

Mbona mnaweweseka hivyo!

Leo mzee yuko kwenu hapo
#Bulldozer JPM In mbeya today!
 
Utakonda kwa maradhi yasiyo tibika yaani pressure kwa kuendelea kumchukia mh Sugu
Ushindi?
Hivi mbeya 2020 imeishafika na mmefanya uchaguzi?

Mbona mnaweweseka hivyo!

Leo mzee yuko kwenu hapo
#Bulldozer JPM In mbeya today!
FB_IMG_1556044547688.jpeg
 
Back
Top Bottom