Mbunge Joseph Mbilinyi awalalamikia CCM kwa Askofu

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,324
2,000
Hii picha ni mithili ya Shetani kwenda kulalamika kwa Mungu, ati Malaika wanamwonea!!!
Katika gazeti la Majira , page 3.

Mbunge Sugu ameenda kulalamika kwa Askofu Chengula wa Kanisa la Katoliki, Mbeya.
Ati CCM inawaonea wabunge wa upinzani!!!!

image-jpeg.364443

Imekaaje wandugu?
Hii picha itaendelea kuhukumu dhamira ya uadilifu wa huyu mbunge Sugu.
 
swissme

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
13,659

je na yule mkapa aliyesema Watanzania ni wapumbavu vipi na nyumbu
 
Chimbukuru john

Senior Member
May 17, 2016
135
225
Watu wengine wapo kupima imani za viongozi wetu wa dini.
Kaonewa kwa lipi ikiwa picha inaonyesha kitendo.
Labda kama kaenda na mengine lakini sio suala la adhabu hii
 
Ndalama

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
8,793
2,000
Wivu tu unawasumbua, hivi katika wabunge wooote zaidi ya 260 ni Sugu ndio mnamfahamu? Mnaangalia alipoangukia hamjihangaishi kujua alipojikwaa?
 
kinguo

JF-Expert Member
May 27, 2016
440
500
Hii picha ni mithili ya Shetani kwenda kulalamika kwa Mungu, ati Malaika wanamwonea!!!
Katika gazeti la Majira , page 3.

Mbunge Sugu ameenda kulalamika kwa Askofu Chengula wa Kanisa la Katoliki, Mbeya.
Ati CCM inawaonea wabunge wa upinzani!!!!

image-jpeg.364443

Imekaaje wandugu?
Hii picha itaendelea kuhukumu dhamira ya uadilifu wa huyu mbunge Sugu.

Usiwe mbaguzi sana. Tunaomba na kavideo ka peter serukamba wakati na yeye alivyotukana bungeni. Ili tuwpime wote maadili yao.
 
Ndalama

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
8,793
2,000
Usiwe mbaguzi sana. Tunaomba na kavideo ka peter serukamba wakati na yeye alivyotukana bungeni. Ili tuwpime wote maadili yao.
Kwa hii ID yake anaonesha ni wa hukohuko kwa Sugu, za kuambiwa changanya na zako
 
Kitombise

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
7,892
2,000
Wivu tu unawasumbua, hivi katika wabunge wooote zaidi ya 260 ni Sugu ndio mnamfahamu? Mnaangalia alipoangukia hamjihangaishi kujua alipojikwaa?
Hata mm nawashangaa yani wanahukumu upande mmoja bila kusikiliza na upande wa pili.
 
mwakweya70

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
414
225
Msirukie ati kutukana bungeni,suala zima la kujitambua na kusema kweli ni kiongozi wa watu makini sugu bado,labda kwa huko mbeya
 
Mpiga Ulimi

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
704
500
Nani unamfananisha na Mungu sasa, Mungu hafananishwi na chochote Kilicho chini ya mbingu
Amen humu ndani kuna watu wanamfananisha Magufuli na Mungu eti wana muita Mtukufu rais,wakati hakuna mtukufu zaidi ya Mungu pia wanasema eti ikulu ni mahali patakatifu wakati duniani hakuna sehemu takatifu isipokuwa mbinguni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom