Mbunge Joseph Mbilinyi awalalamikia CCM kwa Askofu

je na yule mkapa aliyesema Watanzania ni wapumbavu vipi na nyumbu

Mkapa hakukosea.
Watanzania ni wapumbavu kweli na wafata mkumbo kama nyumbu.
Mtu unamchaguaje Sugu awe mbunge wako? Au yule mwanamke aliedai anatamani kulia watu wanavyolazimjsha bunge live?! Tanga waliomchagua mganga wa kienyeji nao?
Wapumbavu wa hali ya juu.
 
Tena hawana akili hawa hawajui kuwa sugu no mbunge aliyechaguliwa kwa kula nyingi kuliko wabunge wote Tanzania!!!
Sugu na taswira iliyopo kwenye mada, huhitaji mtu mwenye akili kuwa kachaguliwa na watu gani wa calibre kama yako.
 
Msirukie ati kutukana bungeni,suala zima la kujitambua na kusema kweli ni kiongozi wa watu makini sugu bado,labda kwa huko mbeya
Huku kwetu ni Mbunge makini hasa...

Sugu mmoja wa Mby Mjini ni akina Serukamber 10, Mwigulu 10, Uncle Magu 3 na UVCCM jinsia ya KIUME WOTE
 
Usiwe mbaguzi sana. Tunaomba na kavideo ka peter serukamba wakati na yeye alivyotukana bungeni. Ili tuwpime wote maadili yao.
Tena huyu tunamtafuta sana,tangu matokeo ya uchaguzi kutoka hadi leo hajaonekana na sura yake tumeisahau tayari,Aje hata apite tuu sio adhma yao ya kubadilishana majimbo na Zitto imetimia ndio katutekelezea
 
Back
Top Bottom