Mbunge John Peter Kadutu Mungu amekutumia! Ubarikiwe!!!

Mbunge John Peter Kadutu Mungu amekutumia! Ubarikiwe!!!

belak

Senior Member
Joined
Jul 23, 2016
Posts
179
Reaction score
377
Wandugu napenda kuungana na alichosema mbunge wa ulyankulu Leo!
KADUTU: Mkiambiwa Mambo Yenu Mengine Mnakuja Juu - VIDEO
Nakumbuka wengi wamezoea kusema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu si kweeeli! Ni kinyume chake!

Mungu akitaka kufanya jambo lake huwa anamtumia mtu mmoja tu tena kwa kumuandaa kwa gharama kubwa sana! Mfano; Yesu, Musa, Elia, Paulo nk! Tanzania yetu hii ya leo viongozi wadini na madhehebu mbalimbali wamedharauliwa sana tena saana ni kitu cha ajabu mno ambacho shetani anafurahi mno na yuko kazini!

Siasa inapokuwa kipimo thermometer ya viongozi wa dini isn't right!!! Hiki kitu kitalicost taifa coz Mungu anapotaka kuiponya nchi ni kanuni huwa anawaelekeza makuhani wake ambao ndio viongozi wa dini!

Tukiwapuuza hao we are finished kwasababu ukweli ni kwamba we have not played the price than our spiritual leaders have done! Leo tumjifananisha nao tu its like no one knows what every body is a boss! Hapana!!!!

Kuna wakati wana wa Israel walimwambia musa Mungu hawezi kusema na wewe tu nasisi tunataka aseme na sisi! Wakamdhihaki sana Musa kwamba si lolote! Mungu akawaambia waambie wajitakase wapande huku mlimani nitasema nao! Haikuwezekana!!! Wao wenyewe walishindwa kuvumilia wakarudi chini fastaa!!!

Now kiburi chako ewe Tanzania kama nchi mbona kimepanda mno kiasi ambacho huoni hata madhabahu za Mungu zinazowakilisha ufalme wake?? Madhabahu zimedharaulika mno its like vijiwe! Ndugu zangu tusijifananishe na viongozi wa dini hata kama wanamadhaifu!!!

Hukumu yao sio hukumu yetu! Tusijefikiri kwakuwa tunajua siasa we can challenge every thing! Hongera mbunge kwa kubali kutumiwa na Mungu kufikisha kilio chake kwa wanadamu wanaodhani kuwa wamefika kiti cha enzi!!! Its my prayer that 2020 you win without sweating! God has already won for you!!!!
 
kadutu hongera kwa kuuvua unafiki, ila wao wameshika mpini.
 
Kafanya kitendo ambacho wabunge wengi wa ccm wameshindwa kufanya kwa siku nyingi. Walao hata 30% ya wabunge wa ccm wangekuwa kama Kadutu na kusema ukweli hakika heshima ya CCM INGEKUWA KUBWA
 
Ubarikiwe kadutu Mungu akuongezee nguvu ya kuwa mzalendo hongera kwa kusema ukweli
 
Hongera sana Mbunge kwa kuongozwa na kuyaona hayo
 
Kafanya kitendo ambacho wabunge wengi wa ccm wameshindwa kufanya kwa siku nyingi. Walao hata 30% ya wabunge wa ccm wangekuwa kama Kadutu na kusema ukweli hakika heshima ya CCM INGEKUWA KUBWA
Wakipatikana ccm kama huyu 10 tuu wakajenga ujasiri huu chama kingejenga heshima kubwa! But mhhhh imbombo ngafuuu!
 
Wakipatikana ccm kama huyu 10 tuu wakajenga ujasiri huu chama kingejenga heshima kubwa! But mhhhh imbombo ngafuuu!
Ni ngumu kupatikana kama unavyoona uzi huu wa kumpongeza mtu aliyejitoa muhanga hapati hata pongezi za kumtosha unadhani wengine ni rahisi kujitoa kwa namna ile?
 
Kasema kweli kabisa. Ni jinsi Mungu anavyomtumia mtu mmoja Tanzania Bw. john Pombe Magufuli. Maono yake yanatupeleka mbeleeee
 
Back
Top Bottom