Mbunge Elibariki Kingu wa CCM akataa posho kwa wabunge "sitting allowance"

Moja wa vijana anayemake headlines kwa sasa ni mbunge wa Singida Magharibi Ndg. Elibariki Kingu ambaye kwa mara ya kwanza kawa mbunge kutoka CCM anayepinga uwepo wa posho za laki 3 (300,000) kwa siku kama sitting allowance...

Mh. Kingu kafanya uamuzi huo ikiwa ni kumuunga mkono Rais wa awamu ya tano Dr. John Magufuli kama moja ya njia ya kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na fedha zinazopatikana kupelekwa katika huduma kwa wananchi...

Mytake:

Kwa kauli moja lazima tumpongeze mbunge kama huyu. Tena anayetokana na chama cha mapinduzi... Huu ni uzalendo wa hali ya juu!...

Na kashauri kama wabunge wengine wanataka hizo posho kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wao basi wakubali fedha hizo zipelekwe moja kwa moja kutunisha mfuko wa jimbo.. Na sio kuwapa mkononi..
Naona utakua Kingu wewe! Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Kwanza rudisha zile pesa ulizokopa ukasababisha Viongozi wa dini wakatiwa ndani, Rudisha zile mil 90 ulizokula kule Igunga! Usidhani tumenyamaza hatujui uliyoyafanya Wakati wa kampeni, uliweka jimbo rehani kwa kukopa pesa ukawagawia Viongozi wa UVccm BODABODA kila kata ukawa unadaiwa kila kona ukawa unajificha,usitakae kujitaftia Kiki humu,Umesababisha uhasama kwa vijana wa Kinyaturu mpaka sana wanachukiana kwa sababu yako.Wa kukataa posho sio wewe Kingu tuna kujua.Uliutaka ubunge kwa ulaghai wote ulioufanya na Sasa tulia usiibue mengine hata JK anajua utapeli wako.
 
wewe ndo ulikua mpinzani wake nini?? just assuming beyond the limit, but kampeni zishaisha unganeni wote tuijenge tz yetu sote.
 
Naona utakua Kingu wewe! Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Kwanza rudisha zile pesa ulizokopa ukasababisha Viongozi wa dini wakatiwa ndani, Rudisha zile mil 90 ulizokula kule Igunga! Usidhani tumenyamaza hatujui uliyoyafanya Wakati wa kampeni, uliweka jimbo rehani kwa kukopa pesa ukawagawia Viongozi wa UVccm BODABODA kila kata ukawa unadaiwa kila kona ukawa unajificha,usitakae kujitaftia Kiki humu,Umesababisha uhasama kwa vijana wa Kinyaturu mpaka sana wanachukiana kwa sababu yako.Wa kukataa posho sio wewe Kingu tuna kujua.Uliutaka ubunge kwa ulaghai wote ulioufanya na Sasa tulia usiibue mengine hata JK anajua utapeli wako.

Ungejua sina hata nasaba, watanzania tuna matatizo sana na tukiendelea hatutafanikiwa. Kila muda ni majungu, fitina, uongo, unafiki, uchonganishi etc...

Sasa kwa mfano hapo unasema yeye alichukua fedha then waliokatwa ni viongozi wa dini, inaingia akilini kweli?

Pili, kweli nchi hii kama mkuu wa wilaya kachukua fedha kwa nini asikamatwe? Au na yeye kajificha, je ni kweli mkuu wa wilaya anaweza kujificha na asikamatwe?

Tatu, unaposema alitaka ubunge kwa njia ya ulaghai, ni njia gani hiyo?, na ameupataje kwa njia ya ulaghai?, umechukua hatua gani mpaka sasa?...

Nafkiri una chuki binafsi na mtajwa hapo juu. Au wewe ndiyo ulishindwa ubunge au ulikuwa mpambe wa aliyeshindwa...

Pole sana Mkuu, fungua kurasa upya tuijenge Mama Yetu Tanzania
 
Wale jamaa hutawasikia wamesusia posho hata siku moja na wala hawataki izungumzwe habari ya kushusha posho.Wa-make headlines kwa mambo yenye manufaa kwa taifa kama haya siyo upuuzi upuuzi tu.
 
Huyu alikuwa mkuu wa wilaya akapigwa chini kakimbilia ubunge na Pesa ndio imemmpitisha huko singida. Hana lolote sifa tu za kuuutaka uwazir.kwanza Ana kasshfa kibaoo
 
Ungejua sina hata nasaba, watanzania tuna matatizo sana na tukiendelea hatutafanikiwa. Kila muda ni majungu, fitina, uongo, unafiki, uchonganishi etc...

Sasa kwa mfano hapo unasema yeye alichukua fedha then waliokatwa ni viongozi wa dini, inaingia akilini kweli?

Pili, kweli nchi hii kama mkuu wa wilaya kachukua fedha kwa nini asikamatwe? Au na yeye kajificha, je ni kweli mkuu wa wilaya anaweza kujificha na asikamatwe?

Tatu, unaposema alitaka ubunge kwa njia ya ulaghai, ni njia gani hiyo?, na ameupataje kwa njia ya ulaghai?, umechukua hatua gani mpaka sasa?...

Nafkiri una chuki binafsi na mtajwa hapo juu. Au wewe ndiyo ulishindwa ubunge au ulikuwa mpambe wa aliyeshindwa...

Pole sana Mkuu, fungua kurasa upya tuijenge Mama Yetu Tanzania

Usilolijua ni kama usiku wa giza.nenda Jimboni utapata majibu kamili
 
hivi wakuu ni kweli hawa wabunge wanapokea sitting allowance ya laki tatu kwa siku kama ile ya bunge la katiba?halafu bado kuna per diem ya 120,000/=!!!!!!
soon nitaungana na zitto kupinga huu ujambazi.
 
Naona utakua Kingu wewe! Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Kwanza rudisha zile pesa ulizokopa ukasababisha Viongozi wa dini wakatiwa ndani, Rudisha zile mil 90 ulizokula kule Igunga! Usidhani tumenyamaza hatujui uliyoyafanya Wakati wa kampeni, uliweka jimbo rehani kwa kukopa pesa ukawagawia Viongozi wa UVccm BODABODA kila kata ukawa unadaiwa kila kona ukawa unajificha,usitakae kujitaftia Kiki humu,Umesababisha uhasama kwa vijana wa Kinyaturu mpaka sana wanachukiana kwa sababu yako.Wa kukataa posho sio wewe Kingu tuna kujua.Uliutaka ubunge kwa ulaghai wote ulioufanya na Sasa tulia usiibue mengine hata JK anajua utapeli wako.

hii inatokea Tz tu..mkuu wa wilaya kajificha haonekani!!!? kabisa inatuaminsha hivyo!! please mkuu tuheshimiane si watu wazima,andaa uongo mzuri basi!
 
Well said Mkuu...... Yaani jamaa anatuona wajinga kwelikweli. Mkuu wa wilaya anapotea haonekani wala hakamatwi...
 
hivi wakuu ni kweli hawa wabunge wanapokea sitting allowance ya laki tatu kwa siku kama ile ya bunge la katiba?halafu bado kuna per diem ya 120,000/=!!!!!!
soon nitaungana na zitto kupinga huu ujambazi.

Yes ni laki 3 kwa siku kaka ndio wabunge wetu wanakula...
 
Mnyonge mnyongeni lakini hakiyake mpeni!uzalendo niroho na sio vyama vyasiasa!tusilete ushabiki wa vyama katika ukweli.
 
Na kwa nini wabunge wa CCM wakifanya mnasema anatafuta kitu, na wa upinzani wakifanya mnasema ni wazalendo?... Why double standard?

Unajua hawa jamaaa ni wabinafsi kupita kiasi, eti wanataka waaminiwe kwamba wao si wasaka vyeo na kwamba ndo wazalendo pekee japokuwa kila nikichokonoa mambo yangu sioni wapi wanapata hiyo sifa ..ni matapeli wanaojiita wanasiasa.
 
Back
Top Bottom