Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Sijawahi ona umeandika kama hivi. Tukisema tuanze waliozalishwa na waume za watu tutakuta malaya wengi sana. Kingu alimdanganya huyo dada atamuoa mke wa pili sababu ndoa yake na mke wake imekufa na alishampeleka mpaka kwake. Kingu alikua wazi kabisa kwenye relationship yake na Nicole. Alikua anamuweka dp anampeleka anakaa na watoto wake. Mwananke yeyote ukimuaminisha hivi ukimuomba kuzaa hawezi kataa. Ni kosa amefanya ila Kingu alimsababishia hivi.
Namjua Kingu sana kabisa. Kwa taarifa yako sasa hivi ana mwanamke mwingine nae akija kushtuka atajikuta anamtamani Kingu kama hivi.

Ndoa na Mke wake ipo bado vizuri maana umeandika kuna mwingine tena? Dini yake ni muislam?
 
Sema "wanaume karibu wote" hawaheshimu ndoa. Aliyetulia basi jua ni mcha Mungu wa dhati kabisa au uchumi mdogo anakula kwa macho. Hujaona babu kastaafu kavuta mafao anamuacha bibi watoto home anavuta kipotabo kibichiii anatumbua nacho pensheni? Wanasiasa kundi dogo sana na sema wanaonekana tu ila wanawakilisha tabia ya wanaume karibu wote bila kujali ni nani.
 
Huyo kingu atapata muda wa kulea Huyo mtoto. ...? Mwisho ni taifa lisilokuwa na malezi yeyote, lisilo wajibika bado sisi waafrika tutasubiri sana. Mnasifia michepuko na kuhalalisha upuuzi. Acha trump atutukane ndiyo tunayoweza
Huyo Trump kwani kahasiwa? Mbona na yeye ana kashfa kibao tu za migegedo. Acheni kujidharau Waafrika.
 
Wanasiasa wengi TZ hawaheshimu kabisa familia zao...Mfano huyu Emmanuel Kingu, ana ndoa lakini bado ana michepuko kibao akiwemo Miss Shinyanga 2014, Nicole Franklin ambaye katika video hii anaongea proudly kabisa kwamba Kingu ndiye Baba mtoto wake, pamoja na kujifanya anamhurumia mke wa Kingu...wacha Trump awaite shitholes

Shithole ni wewe unayefikiri kila akisemacho mzungu kinatoka kwa Mungu au ndio sahihi? Huyo Trump ana tuhuma ngapi za uzinifu? Clinton hakuchepuka ikulu na mtoto mkali Monica au ulikuwa unafikiri mb** na nyege tuliumbiwa waafrika peke yetu? Kama wewe ni me na sio hanithi huwezi shangaa hili.
 
Kademu kenyewe kakali. Hako kukatafuna na kufunga goli kabisa siyo dhambi. Hata Sheikh Kipoozeo angekapenda maana kanaonekana hata "Mambo ipo huko"
Tafadhali uwe na heshima na imani za watu.Sheikh kipoozeo amekujaje hapa?
 
huyu binti ni zombi sijapata ona!
huo ubongo wake una funza ama minyoo nahisi...
 
Shithole ni wewe unayefikiri kila akisemacho mzungu kinatoka kwa Mungu au ndio sahihi? Huyo Trump ana tuhuma ngapi za uzinifu? Clinton hakuchepuka ikulu na mtoto mkali Monica au ulikuwa unafikiri mb** na nyege tuliumbiwa waafrika peke yetu? Kama wewe ni me na sio hanithi huwezi shangaa hili.
Shut up...you shithole!
 
Back
Top Bottom