Mbunge CHADEMA aishukuru Serikali kwa hili jimboni kwake

mamayoyo1

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,011
1,019
Mbunge Rombo, Joseph Selasini ameishukuru Serikali kwa kuridhia kuboresha huduma ya maji kwa vijiji 41 vyenye shida kubwa ya maji wilayani Rombo.
 
Hii ni habari muhimu kwa zama hizi za kusifu na kuabudu.Rejeeni kauli Bungeni na viongozi waandamizi wote." Tunamshukuru sana Mh.Rais Magufuli kutupatia fedha... Tsh....." Ipo siku wananchi chini ya katiba bora watadai hudumu za msingi na si kuomba ama hisani ya watawala.
 
Huyo ni mbunge wa wananchi anayohaki ya kuishukru serekali katika mambo mazuri iliyowafanyia wananchi kwa niaba ya wananchi wenyewe.
 
Uwezo wetu wa kufikiri bado mdogo sana. Tunasafari ndefu kufika Tanzania ya mafanikio
 
Back
Top Bottom