Mbunge CCM ataja mmiliki wa Richmond: Bunge 2008

Mbunge CCM ataja mmiliki wa Richmond: Bunge 2008

Ni yule jamaa wa Sikonge alikuwa mwalimu huyu. Sikonge wa hapa jf anajiandaa kuchukua jimbo hili
 
Samahani jamani, huyu jamaa aliyazungumza haya wakati wa Sam 6 au vinginevyo?
 
Kesho wanaandamana kuunga mkono hotuba ya raisi. Ipo siku nitakuwa tayari kwa lolote. Haichukui siku nyingi.
Rostam, Rostam, Rostam!!!
 
Tehe tehe anayejiita mwanasiasa makinia atajwa kupora taifa la tz
 
Hivi ni siasa ama ni wananchi wazito kufikiri na wepesi kusahau?Jitihada za kushinikiza na kutaka hawa watu wakamatwe zilifikia pahala Said Mwema mkuu wa Polisi nchini akasema hawezi kuwakamata....Sasa wananchi wanasuasua,na wengine tumebaki kuwa na wishful thinkings tu bas.
 
Back
Top Bottom