kisugujira
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 774
- 200
Kipara kinatibiwa mkuu
Hizi ni dharau yaani anamaanisha hao wanafunzi wakue wawe wapiga kura wake anaamaanisha wao hawatafaa kuwa viongozi wakiwa watu wazima ila watakuwa wapiga kura tuu, hivi hii mijitu ya CCM mbona inajisahau sana??? hebu fikiria kwa mtu mwenye akili timamu atasemaje Mwampamba na Juliana wamehama Chadema ilihali wamefukuzwa? Na hawa watu wawili wana umuhimu gani mpaka wakatangazwa kama watu special? mbona anapafanya bungeni pawe kama kijiwe cha wahuni?Kutokuwa na busara na hekima kwa viongozi wetu kutaendelea kuleta matatizo na kutoelewana miongoni mwetu katika nchi yetu iliyokuwa na amani Tanzania.
Leo hii katika mjadala wa bajeti ya wizara ya uchukuzi 2013-2014, mbunge wa Ilala Azan Zungu, amesababisha kutokea kwa kelele bungeni zilizotokana na minong'ono toka kwa baadhi ya waheshimiwa wabunge hasa toka vyama vya upinzani, baada ya kutangaza na kuwatambulisha vijana wawili, Mwambapa na Juliana Shoza waliohama toka CHADEMA na kujiunga na CCM!
Bila ya kutokuwa na haya, mbunge huyo amediriki pia kuwataka wanafunzi wa shule ya msingi Ilala wakue haraka ili waje kumpigia kura siku zijazo! Ameshindwa kuwaasa wanafunzi hao waliokwenda bungeni kujifunza, kuwa wasome sana ili kesho waje kuwa viongozi bora na waadilifu katika nchi! Badala yake anawafundisha kuwa na tamaa ya kukaa madarakani kwa muda mrefu!
"Leave your mark where others can only dream on going."
Hizi ni dharau yaani anamaanisha hao wanafunzi wakue wawe wapiga kura wake anaamaanisha wao hawatafaa kuwa viongozi wakiwa watu wazima ila watakuwa wapiga kura tuu, hivi hii mijitu ya CCM mbona inajisahau sana??? hebu fikiria kwa mtu mwenye akili timamu atasemaje Mwampamba na Juliana wamehama Chadema ilihali wamefukuzwa? Na hawa watu wawili wana umuhimu gani mpaka wakatangazwa kama watu special? mbona anapafanya bungeni pawe kama kijiwe cha wahuni?
Anatuaibisha wenye 'vipara'!