nguluvisonzo
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 515
- 72
Kwani we wafikiri wote wale wanaokufa kwa ujambazi huzikwa na nani? Hujizika wenyewe? Si hiyo serikali ndio huwazika? Au hilo hulijuwi.
Halafu hizo rambi rambi ni kutaka kuepusha madhara yanayochochewa na wanasiasa uchwara wa cdm. Au na hilo hulijui?, hao cdm kinachowapeleka huko kimbelembele ni nini kama sio kutafuta umaarufu na kuchonganisha watu? Tuwe wa kweli wa nafsi zetu kwanza.
Hebu jaribu kufikiri ki Great Thinker wewe. Hadi itakapothibitishwa na Tume Huru kwa uchunguzi wa kitaalamu na si huu wa Mbabaishaji Saidi Mwema a.k.a. shemejindiyo nitaamini maelezoya serikali. Hivi inaingia kweli akilini watu "zaidi ya Elfu moja" waliojizatiti kwa silaha wakavamia mgodi unaolindwa na polisi wasiozisidi 100 kupambanqa na polisi, kuuwawa watano na kujeruhiwa watatu kisha hakuna hata askari aliyechubuka? Huu ni uongo uliokubuhu wa CCM. Kama ni kweli walikuwa wezi wale na si waandamanaji ni kwa nini serikali inawaangukia CHADEMA wawashauri ndugu wakubali kuzika? Halafu tokea lini serikali imeanza utamaduni wa kutoa ubani kwa majambazi waliouwawa katika mapambano na polisi? Naamini kuna ukweli tofauti na inavyosimuliwa. Jambo moja ni wazi, nalo ni kwamba changamoto mpya zilizojitokeza hivi karibuni za wananachi kuamka na kudai haki zao kwa maandamano zimeliumbua Jeshi la Polisi na kuonyesha udhaifu wake katika kupambana na waandamanaji au hata tuseme vikundi vya watu wakorofi wasio na silaha kali yaani kama mawe, matofali n.k. Alichoahidi Saidi Mwema kuhusu utendaji wa weledi sasa umejulikana kama kufanya kazi kwa zima moto, bila kutumia akili wala huo unaoitwa weledi na uzezeta wa Jeshi linalofanya kazi kama moja ya asasi za CCM. Ni aibu kubwa ambayo historia kamwe haitaisahau. Kuzima vurugu hata za wahuni kama walivyowaita unahitaji machine gun kweli? Shame to Mwema and his hopeless thugs.Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".
Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.
Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".
Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.
Hebu jaribu kufikiri ki Great Thinker wewe. Hadi itakapothibitishwa na Tume Huru kwa uchunguzi wa kitaalamu na si huu wa Mbabaishaji Saidi Mwema a.k.a. shemejindiyo nitaamini maelezoya serikali. Hivi inaingia kweli akilini watu "zaidi ya Elfu moja" waliojizatiti kwa silaha wakavamia mgodi unaolindwa na polisi wasiozisidi 100 kupambanqa na polisi, kuuwawa watano na kujeruhiwa watatu kisha hakuna hata askari aliyechubuka? Huu ni uongo uliokubuhu wa CCM. Kama ni kweli walikuwa wezi wale na si waandamanaji ni kwa nini serikali inawaangukia CHADEMA wawashauri ndugu wakubali kuzika? Halafu tokea lini serikali imeanza utamaduni wa kutoa ubani kwa majambazi waliouwawa katika mapambano na polisi? Naamini kuna ukweli tofauti na inavyosimuliwa. Jambo moja ni wazi, nalo ni kwamba changamoto mpya zilizojitokeza hivi karibuni za wananachi kuamka na kudai haki zao kwa maandamano zimeliumbua Jeshi la Polisi na kuonyesha udhaifu wake katika kupambana na waandamanaji au hata tuseme vikundi vya watu wakorofi wasio na silaha kali yaani kama mawe, matofali n.k. Alichoahidi Saidi Mwema kuhusu utendaji wa weledi sasa umejulikana kama kufanya kazi kwa zima moto, bila kutumia akili wala huo unaoitwa weledi na uzezeta wa Jeshi linalofanya kazi kama moja ya asasi za CCM. Ni aibu kubwa ambayo historia kamwe haitaisahau. Kuzima vurugu hata za wahuni kama walivyowaita unahitaji machine gun kweli? Shame to Mwema and his hopeless thugs.
Hebu jaribu kufikiri ki Great Thinker wewe. Hadi itakapothibitishwa na Tume Huru kwa uchunguzi wa kitaalamu na si huu wa Mbabaishaji Saidi Mwema a.k.a. shemeji ndiyo nitaamini maelezo ya serikali. Hivi inaingia kweli akilini watu "zaidi ya Elfu moja" waliojizatiti kwa silaha wakavamia mgodi unaolindwa na polisi wasiozisidi 100 kupambana na polisi, kuuwawa watano na kujeruhiwa watatu kisha hakuna hata askari aliyechubuka? Huu ni uongo uliokubuhu wa CCM. Kama ni kweli walikuwa wezi wale na si waandamanaji ni kwa nini serikali inawaangukia CHADEMA wawashauri ndugu wakubali kuzika? Halafu tokea lini serikali imeanza utamaduni wa kutoa ubani kwa majambazi waliouwawa katika mapambano na polisi? Naamini kuna ukweli tofauti na inavyosimuliwa. Jambo moja ni wazi, nalo ni kwamba changamoto mpya zilizojitokeza hivi karibuni za wananachi kuamka na kudai haki zao kwa maandamano zimeliumbua Jeshi la Polisi na kuonyesha udhaifu wake katika kupambana na waandamanaji au hata tuseme vikundi vya watu wakorofi wasio na silaha kali yaani kama mawe, matofali n.k. Alichoahidi Saidi Mwema kuhusu utendaji wa weledi sasa umejulikana kama kufanya kazi kwa zima moto, bila kutumia akili wala huo unaoitwa weledi na uzezeta wa Jeshi linalofanya kazi kama moja ya asasi za CCM. Ni aibu kubwa ambayo historia kamwe haitaisahau. Kuzima vurugu hata za wahuni kama walivyowaita unahitaji machine gun kweli? Shame to Mwema and his hopeless thugs.Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".
Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.
sio faizal, faiza. Rekebisha.
Kwani huyo mwekezaji alivamia? Si alikaribishwa na akafata masharti yote na akaahidiwa ulinzi wa mali zake na maisha yake? Au hilo hilijuwi. Kama umemchoka wamlipa kama mikataba uliyoweka, aondoke zake, si umeona ya dowans, humtaki kisha wekeza, mlipe. Zipo njia zake za kikanuni na si kumvamia. We wafikiri wale walinzi huwekwa kuzuia watu na henkachifu? Wacha puimba hizo, kuwa mkweli na nafsi yako, hata wewe ukivamiwa na mtu mmoja tu kwenye kaya yako utajitetea, kama huna bunduki, japo rungu au panga au hata utapiga mayowe, lakini huwezi kaa kimya. Au wewe ndio utalifukuza jambazi kwa henkachifu? Unanini babuwee?
Wacha mdogo wangu, hata babangu. Kama anavamia sehemu ya watu kwa kuiba na auawe na mazikoni siendi. Mwizi, Jambazi.
Unataka sema nini wewe, watu wakusanyike, waende kwa nia ya kupora na kudhuru wengine halafu wakae wanatizamwa macho tu? Nashanga! Piga ua, yeyote anae trespass, au hujui sheria za trespassing? Tena kundi zima, mnavamia sehemu waliopewa wawekezaji wafanye shughuli zao? Halafu muwachiwe, eti kwa nini? Kwa kuwa ni mdogo wake FF? Hata aingie mmoja tu uwani kwangu bila kuruhusiwa, wallahi nnamtia risasi halafu tutajuana mbele labda nisimuone! Haa, mtu aingie kwangu bila taarifa akinibaka? Na mie silaha nnayo nimuachie? Hapo hujanambia kitu babuwee.
Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".
Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.
Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".
Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.
Nimefuatilia hotuba ya Mheshimiwa Freeman Mbowe akizungumzia mauaji na vurugu zilizotokea kule Tarime baada ya kile kilichodaiwa wananchi kutaka kuvamia mgodi wa Barrick huko Nyamongo. Mheshimiwa Mbowe alikaririwa akisema amemtuma Mh. Godbless Lema na Mh. Ester, lakini pia amewatuma wanasheria wa chama kwenda kuhakikisha kwamba mazishi ya wahanga hao hayafanyiki bila kufanyiwa postmortem. Alimalizia kwamba yeye na timu yake wanaelekea huko na kuendesha harakati mpaka kieleweke.
Nimeitafakari kauli hii na nimekuwa nikijiuliza kama hatua hizo zinalenga kutatua kiini cha mgogoro au kina nina ya kuleta taharuki na pengine kuchochea hasira ambazo hatimaye zitaleta maafa zaidi kwa wananchi wa eneo hilo na mwisho wa siku wakubwa hawa kurejea Dar es Salaam huku wale waliowachochea wakiwaacha wanaendelea kumalizana. Je hali hii haiwezi kuleta uvunjivu mkubwa wa amani katika sehemu hii ya nchi yetu? Je kwa kufanya hivi kweli Chadema kinawasaidia wananchi hawa ambao mpaka sasa wana uchungu wa kuondokewa na wapendwa wao? Je Chadema wangependa kuwafanya wana Tarime waendelee kuwa katika hali ya majonzi kwa muda mrefu wakati hatima ya uchunguzi huo haitaleta taarfia tofauti na ile ya kwamba watu hao wameuawa na polisi, kama ambavyo polisi wenyewe wamekiri? Kwanini wasije na majawabu juu ya kile ambacho kinaweza kufanyika dhidi ya polisi kama itabainika kwamba nguvu waliyoitumia haikustahili kwa mazingira ya tukio hilo?
Mimi naogopa kwamba inawezekana hatua hii ya Chadema kuhamishia harakati Tarime inaweza kuwa ni kuongezea petroli katika moto unaowaka! Naomba kutoa hoja.
Mimi nafikiri hawa jamaa wanafurahia kuleta sintofahamu hata katika mazingira ambayo kinachohitajika ni faraja na kutafuta namna bora ya kuwasaidia waliofikwa na maafa haya. Serikali ni vizuri ikaliangalia hili na kujiridhisha kama hatua hiyo haina dhamira ovu na kuchukua hatua kali dhidi ya vitendo ambavyo vinasimika uhasama zaidi badala ya kuponya makovu.
Kufanya uchunduzi kabla ya mazishi ni mpango mzuri,Japo Chadema km chama cha siasa hawana sababu kubwa ya kuingilia mgogoro huu.La sivyo itaonekana kwamba pia wao walihusika kushinikiza wananchi kuvamia mgodi...na vitendo vingine km mbunge kupigwa mawe.Serikali yenyewe ione umuhimu wa kufanya uchunguzi kabla ya mazishi.Uchunguzi huu utaisaidia polisi katika kazi zake za kufanyia upelelezi swala hili na kutoa ripoti nzuri na yenye ukweli kwa Watanzania.Sio mazishi yameishafanyika wanashindwa kujibu maswali km,fulani alipigwa risasi ngapi?,ya shingoni au ubavuni? Kwa mbele au kwa nyuma? na mengine.