Jambo jema wakat kuna waalimu wa hayo masomo na serikal haiwaajiri?Safi jambo jema.
-Ndumilakuwili-
Sawa sio ajabu hata Bakari Mhema Mbonde akiwa mbunge wa Rufiji na baadaye naibu waziri wa elimu alikuwa na vipindi na alifundisha katika shule ya sekondari ya Ikwiriri.kwa hiyo hata huyu tunampongeza na apewe vipindi kwa kuwa inawezekana na anaweza.View attachment 563228
MBUNGE wa Serengeti, Marwa Ryoba, ameutaka Uongozi wa Shule ya Sekondari Serengeti kumpangia vipindi aweze kufundisha wanafunzi wa shule hiyo masomo ya sayansi anapokuwa mapumziko, anaripoti Malima Lubasha.
Ryoba alisema hayo wakati wa makabidhiano wa msaada wa madawati na magodoro yaliyotolewa na kampuni inayojishughulisha na utalii ya Grumeti Reserves Fund.
Alisema amechukua hatua hiyo baada ya kuridhishwa na matokeo mazuri ya kidato cha sita mwaka huu ambako wanafunzi wote 48 wamefaulu, daraja la kwanza wakiwa 12, daraja la pili 34 na la tatu wamefaulu watatu.
Chanzo: Mtanzania
Posho ya kiti ilivyotamu acha masihara wewe!Heko kwake, ila ingekuwa poa sana akaacha siasa kabisa akaanza kufundisha
1) Malupulupu tofauti, 2) kuna watu wanaweza multitasking.Heko kwake, ila ingekuwa poa sana akaacha siasa kabisa akaanza kufundisha
Ni mbunge wa Chadema siyo wa wale vilaza waliobobea kwa magoli ya mkono..View attachment 563228
MBUNGE wa Serengeti, Marwa Ryoba, ameutaka Uongozi wa Shule ya Sekondari Serengeti kumpangia vipindi aweze kufundisha wanafunzi wa shule hiyo masomo ya sayansi anapokuwa mapumziko, anaripoti Malima Lubasha.
Ryoba alisema hayo wakati wa makabidhiano wa msaada wa madawati na magodoro yaliyotolewa na kampuni inayojishughulisha na utalii ya Grumeti Reserves Fund.
Alisema amechukua hatua hiyo baada ya kuridhishwa na matokeo mazuri ya kidato cha sita mwaka huu ambako wanafunzi wote 48 wamefaulu, daraja la kwanza wakiwa 12, daraja la pili 34 na la tatu wamefaulu watatu.
Chanzo: Mtanzania
Mzee unaua mang'ana gasarikire!!!Serengeti siku hizi ina kidato cha tano na sita?
Nakumbuka miaka ya mwanzoni ya 2000 shule ilikua na watoto wakorofi sana na wasio na akili kabisa.
Kuna shule nyingine inaitwa Kambarage nadhani, yenyewe ilikua na majambazi na wezi wa ng'ombe, hakuna aliekua anafaulu mitihani.
Aisee. Miaka mingi.