Mbunge ashitaki/aripoti wana/mwana Jamiiforums ...

Watu wanawajadili kina JK, Slaa, Mkapa, Lowassa, na wanakuwa wapole sembuse huyu mama...acha akafungue hiyo kesi yake ndio atajua kama watu wanamjua vizuri tutaenda kumualibia ubalozi wa Marekani, anajua maana ulinzi shirikishi.
 
MPIGA ZEZE umefafanua vizuri sana what scam is,tatizo letu wengi wetu tuna mu accuse huyu mama kwa vitu ambavyo hatuvijuhi,hatuna uhakika navyo ila vya kufikirika kulazimisha bongo zetu kua viko hivyo,kwanza ili la kua na uraia wa nchi mbili eti Marekani na Tanzania ilo haliniingii akilini mwangu kua kama lina ukweli wowote,kwa status ya huyu mama ni rahisi kupita kiasi kwa system ya Marekani kujua wazi kua ni Mtanzania,na pili nchi yetu hairuhusu dual citizenship,unafikiri mamlaka husika ingekaa kimya mpaka leo na isimuumbue na kumchukulia hatua huyu mama!!na inapokuja hoja ya kua eti wanajadiliwa kina Obama,Kikwete au Slaa ndio iwe yeye,ili nalo ni wrong,maana hao kina Obana wanajadiliwa kwa mapungufu au mazuri yao,na haikuwahi kuwekwa article kua Kikwete ana kesi fulani na achangiwe kwa kupitia akaunti namba fulani wakati ukwe wakati ni uongo na kumbe nia ya mleta article ilikua ni kuwaibia watu,ilo ni kosa kubwa sana!mama Leticia kaeleza vizuri sana hiyo issue ni scam na mleta article akidakwa atakua in big trouble,amejaribu ku mess na system ya wenzetu kwa kuweka publication ya uongo na kusingiza law enforcement inamshikilia mama Leticia na ana kesi kadhaha so asaidiwe kuchangiwa kumbe ni uongo na lengo ni kuwaibia watu through mtandao!hata kama tunadhani aliyeka tangazo ilo ni third party,basi yeye nae lazima imgharimu maana ndio atatoa majibu kua hizo habari na tangazo ilo alizipata wapi!big up Leticia kwa kuifikisha hii issue kwa mamlaka husika!
 
How does one "assassinate" a name? Is that meant as in slander a name and assassinate a character?

How does one "reap off" honest citizens of Tanzania in the "Diaspora"?

Does Tanzania have a "Diaspora"? Isn't that supposed to be monopolized already?

Does the MP know the difference between "Diaspora" and "diaspora"? Or even proofreaders who do?

If I entertain the thought that she is not familiar with the entire concept, will that be farfetched?
 
mzurimie
unajua wabongo huchukulia vitu rahisi rahisi na ndiyo maana mnapublish mambo bila ushahidi matokeo yake mnaishia kusaidia kwenye investigation bila kujua.Computer crime inaweza ikachunguzwa kutokea popote pale duniani. Jamani muwe mnajisomea.Mfano unavyojiaminisha kuwa huyo mama ana uraia wa Marekani, una uhakika? Ni vizuri mtu ukatafuta kwanza proof ya unachokiandika vinginevyo unaweza kuaibika. Kuwa makini Marekani siyo kama bongo ambapo mambo kama haya hayafuatiliwi.Kumbuka huyu mama sasa hivi yuko Maryland akiandaa mkutano wa chadema na ukumbuke aliishi na kufanya kazi US kwa zaidi ya miaka kumi.Hapa yeye si mgeni pamoja na kwamba tangu awe mbunge makao yake ni Dar.Kumbuka kuwa ana haki ya kuwa kiongozi Tanzania kama raia wa nchi hiyo. Inaonakana watanzania hawapendi watanzania wanaoishi kwenye diospora kurudi nyumbani na kugombea nafasi za kisiasa. Hii ni haki yetu . Kwanza nampongeza huyu mama pamoja na kwamba yeye ni mbunge, lakini amekumbuka alikotoka na ametumia muda wake kuandaa mkutano ili wabunge wa chadema wapate nafasi ya kuongea na watanzania waishio Marekani.She is not selfish kwani kuna wabunge wengi tu waliotokea nje ya tanzania lakini hawajafikiria kuwafuatilia watanzania walioko nje ya nchi.

nilisema

"na sasa itajulikana kama kweli ana uraia wa USA au hana hiyo kesi ikianza. Na hapo ndipo atatakiwa kujibu maswali ya wa TZ na kushitakiwa kuwa na uraia wa nchi mbili wakati TZ hairuhusu hiyo."

Hivi unadhani mtu akiandika mabo humu ndio kila mtu hawajui mambo ya sheria na takataka zake na jinsi technologia inavyofanya kazi?
hata useme nini wengi wapo TZ na wameishi ulaya haya ya kusema eti watu hawapendi hili au lile ni umekosa cha kusema.

Ulichoandika akijanishtua sababu sijaona kigeni ulichoandika cha kunielimisha.

Na hadi huyu mama hakane yaliyokuwa yameandikwa na kusubiri mashitaka yaendelee basi mie ni mmoja ya wengi ambao tutakuwa tunasubiri kujua ukweli na ukweli kufichua mengi juu yake.

Uraia kama unavyoona nimesema kama kweli kwa hiyo ujifunze kusoma lugha na kuelewa bila kudakia kujibu.

Hata ukimtetea huyu mama yameanikwa na yataanikwa. na bado nasema nasubiri.

Pole kama umeumia inaonekana una uchungu juu yake.

Pia acha kuleta mambo ya waishio ulaya sijui wapi, unajua wanaoandika wapo wapi?

Utadhani walio ulaya wote wanamaendeleo mazuri kuliko waliopo TZ.
 
mbunge viti maalumu chadema leticia nyerere atapanda kizimbani huko marekani kujibu makosa mawili ya jinai yanayohusiana na TRESPASSING PRIVATE PROPERTY.

habari zingine zilizoenea hapa zinasema mbunge huyu passport yake inashikiliwa na polisi pia amezuiwa kutoka nje ya nchi. hii ilimfanya ashindwe kuhudhuria kikao cha bunge kilichopita.

mtu wetu alipowasiliana na ofisi ya bunge wao walisema taarifa waliyoambiwa ni ya kuumwa. hawana habari kama ameshitakiwa mahakamani.
 
She is right, siyo mtu unakurupuka bila evidence kwa interest zako unapost majungu JF, kwanza unajidhalilisha mwenyewe pili unaishushia hadhi JF na members wake.

Greenbelt Police Report: March 23 - March 28 - Greenbelt, MD Patch

March 26 at 2:11 a.m.: Disorderly Conduct. 6000 block Springhill Drive. Leticia M. Nyerere, 53, of Landover, and Florence Mageni, 45, of Greenbelt, were arrested and charged with Disorderly Conduct. The suspects were released on citations pending trial.

Go figure!
 
At least mkuu wewe umeweka mwanga,ila mbona ili kosa ni kama liko tofauti na wengi wanavyo report kua huyu mama alitaka kurubuni ili kupata uraia wa America?
 
Last edited by a moderator:
May 18, 2012 | By Leticia Nyerere

VICIOUS SCAM and FALSE ARREST

It is my responsibility to clarify to my Supporters and valuable people of Tanzania in Diaspora and at home of a recent vicious attack labeled on me. My name was scandalized, assassinated and used by scam artist with the intention to reap off honest citizens of Tanzania in Diaspora, and in Tanzania. This false article was published in Jamii Forum, a social media for Tanzanian community on May 14, 2012.

I should also inform you that I have reported this scam and character assassination to the appropriate U S authority and investigation is on the way.

All these were due to a trumped up and unfounded charges labeled on me falsely. I expect these charges to be cleared by this press release.

I am using this opportunity to invite you to a live forum during the inauguration of our Party (CHADEMA) in Maryland, USA on May 27, 2012.

I can be reached at leticianyerere@rocketmail.com

source: vijimambo blog.

Mimi ???
Mbona sioni hiyo post humu?

Kwani huyu mama anaishi wapi hadi aripoti USA? na forum hii ni ya m/watanzania nadhani kila kitu kina run toka Tanzania au?

- My Friend Mheshimiwa. Leticia kama hii habari ya wewe kumshitaki member yoyote hapa JF ni ya kweli, basi utakuwa umenisikitisha sana hata mimi your friend, Siasa ni biashara kama ya utumbo ukiamua kuwemo ukubali harufu yake, sasa iweje tena leo uanze kushitaki wananchi na maoni yao ambao mshahara wako kama mbunge inategmea kodi yao??

- Please kama ni kweli naomba sana ukafute hiyo kesi, please nitafute tuongee au nipe your number huko nikupigie, lakini aliyekushauri ya kwenda kwenye sheria against JF, sio msahuri mwema kwako na jihadhari naye sana maana sasa unajichimbia kaburi kwenye hilo hata mimi don't count on my support na mimi nitakutwanga.

- So respect our friendship and drop it kama ni kweli, lets talk! you know kwamba tunaheshimiana sana mimi na wewe, again please drop it lets talk, wachana na kwenda kwenye sheria aginst JF, ni simply waste of your time and money haitakusaidia!

William.
 
hapo kweli will umenena poinnt 1 nzuri sana kwani haya ndio mawazo tunayotegemea kutoka kwa vijana kama ww.
Mungu wa israel akubari na kukuinua juu.Amen
 
- My Friend Mheshimiwa. Leticia kama hii habari ya wewe kumshitaki member yoyote hapa JF ni ya kweli, basi utakuwa umenisikitisha sana hata mimi your friend, Siasa ni biashara kama ya utumbo ukiamua kuwemo ukubali harufu yake, sasa iweje tena leo uanze kushitaki wananchi na maoni yao ambao mshahara wako kama mbunge inategmea kodi yao??

- Please kama ni kweli naomba sana ukafute hiyo kesi, please nitafute tuongee au nipe your number huko nikupigie, lakini aliyekushauri ya kwenda kwenye sheria against JF, sio msahuri mwema kwako na jihadhari naye sana maana sasa unajichimbia kaburi kwenye hilo hata mimi don't count on my support na mimi nitakutwanga.

- So respect our friendship and drop it kama ni kweli, lets talk! you know kwamba tunaheshimiana sana mimi na wewe, again please drop it lets talk, wachana na kwenda kwenye sheria aginst JF, ni simply waste of your time and money haitakusaidia!

William.
Mkuu William, asante kwa hili. Huu ni ushauri wa maana sana kwa Mhe. Mbunge wetu, dada yetu na mwenzetu, kwake yeye binafsi, kwa chama chake, wapenzi wake na familia yake!.

Kwa vile hata kama ni kweli alitaka kuishitaki jf, hii inamaanisha watu resiponsible ambao wako liable before the law ni jf oweners, hivyo ni vema mkiyamaliza kiutu uzima!.

Pamoja na kumshauri kuachana na kutaka kuishitaki jf, pia mshauri dawa ya uwongo ni ukweli, just mtell dada yetu to come clean, awe as transparent and clear as crystal!.

Asante.

Pasco.
 
- My Friend Mheshimiwa. Leticia kama hii habari ya wewe kumshitaki member yoyote hapa JF ni ya kweli, basi utakuwa umenisikitisha sana hata mimi your friend, Siasa ni biashara kama ya utumbo ukiamua kuwemo ukubali harufu yake, sasa iweje tena leo uanze kushitaki wananchi na maoni yao ambao mshahara wako kama mbunge inategmea kodi yao??

- Please kama ni kweli naomba sana ukafute hiyo kesi, please nitafute tuongee au nipe your number huko nikupigie, lakini aliyekushauri ya kwenda kwenye sheria against JF, sio msahuri mwema kwako na jihadhari naye sana maana sasa unajichimbia kaburi kwenye hilo hata mimi don't count on my support na mimi nitakutwanga.

- So respect our friendship and drop it kama ni kweli, lets talk! you know kwamba tunaheshimiana sana mimi na wewe, again please drop it lets talk, wachana na kwenda kwenye sheria aginst JF, ni simply waste of your time and money haitakusaidia!

William.

Mkuu umemgeuka tena best friend wako uliekuwa unamtetea humu JF na ukatutajia kwake ni Kinondoni yote yanayosemwa hayana ukweli wowote, inashangaza best friend wako hata namba yake ya simu hauna.
 
Back
Top Bottom