Mbunge 'anapomvaa' Rais....Je inawezekana Dodoma?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Wakuu,

Hii nimeukuta nikichambua makabrasha ya Bunge la Kenya baada ya zile kura za '07. Mbunge anamkomalia Rais Kibaki laivu na kumuache aonekana mbunge wa kawaida.Tazama.

 
Last edited by a moderator:
Haya yote yamewezekana huko kwa jirani kwa sababu ya katiba yao mpya. Huku kwetu, kwao na blah! blah! blah! haitawezekana endapo hatutabadilisa katiba yetu.
 
Inawezekana sana kama hao wabunge hawakusaidiwa kuchakachua kura ili wapate hivyo vyeo.
 
Back
Top Bottom