chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
wabunge wamehoji suala la kugawa milioni 50 kwa kila kijiji wakiuliza zitatolewa kwa kipindi gani na zitawasaidiaje wananchi kwa kuwa zikigawiwa kwa wananchi watapata fedha kidogo ambazo hazitaweza kuwasaidia katika uwekezaji na kuwapatia kipato endelevu.
pia wamehoji kama fedha hizo zitagawiwa kwa wananchi wa mjini pia au ni vijijini tu, maana serikali iliahidi vijiji na mitaa