Mbulu wamsabaratisha Lowassa

Mbulu wamsabaratisha Lowassa

Huyu jamaa Post zake uwa zinakosa wateja kabisa,ikitokea mtu kuchangia basi ni 'kumchamba' tu.CCM OUT

Watu wanajisahau au kujisahaulisha, yaani kujua tu watu wachache wanamfuatilia ujuwe na wewe ni mmoja wa wanaomfuatilia.....kujibu tu habari zake either unampongeza au unakosoa ndio kehstimiza wajibu wakwe katika kufikisha habari.
 
Hilo bango hapo juu ni Hydom na hao ni jamaa wa Maghang walilipwa 25 na usafiri,picha ya pili ni fiesta Karatu,unaongea uongo kwa kumfurahisha nani hapa? Leta picha ya Mbulu watu waione
 
Kilichotokea Mbulu ili aibu isimpate Magufuli kwanza asubuhi waendesha boda boda na wauza viatu waliitwa kituo cha polisi ofisi ya upelelezi kupewa zuio la kutokwenda uwanjani,pili kabla ya mkutano kuanza bulembo alitangaza kua hairuhusiwi kwa mtu yoyote kupiga picha na polisi walikua wengi kuliko wananchi sijui walitoka wapi,jamaa anaefahamika kwa jina Sanka hadi sasa hajulikani alipo baada ya kukamatwa akipiga picha,wa pili Faraji aliemwambia makufuli "push up ipo kwenye ilani akakamatwa pia
 
Nlichokiona jana Mbulu kimenifanya nijiulize kwa nini ccm inatumia nguvu kubwa hii? Bila aibu mwenyekiti wa ccm akatangaza kua Mbulu tumekosa maendeleo sababu ya kumzomea kikwete 2010
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom