Ona watu wameanza kushit posts zako no body responded
Magufuli atashinda kwa kua anajua kura za watanzania zinapatikana wapi na kina nani ni wapiga kura na yeye ndo anadili nao,
wakati ukawa wanaamini zaidi katika mafuriko ambayo ukichunguza kwa undani wengi wao c wapiga kura na wengine hata kadi hawana.
Ona watu wameanza kushit posts zako no body responded
Huyu jamaa Post zake uwa zinakosa wateja kabisa,ikitokea mtu kuchangia basi ni 'kumchamba' tu.CCM OUT
huyu jamaaa huwa simwelewi hata kidogo hii post haitafikisha hata wachangiaji 5 ukitoa na mimi
You did it.Ona watu wameanza kushit posts zako no body responded
Wewe teyari ni mteja na hii post inakunyima usingizi, maana ukilala unamuota Magufuli Rais wa Tano.Huyu jamaa Post zake uwa zinakosa wateja kabisa,ikitokea mtu kuchangia basi ni 'kumchamba' tu.CCM OUT
Huwezi kunielewa kwababu wewe unatumia mahaba kwa Lowassa. Anza kutumia akili yako ndio unazinduka na kuja CCM. Mbulu wamsambaratisha Lowassa.huyu jamaaa huwa simwelewi hata kidogo hii post haitafikisha hata wachangiaji 5 ukitoa na mimi
Kiongozi, umelenga penyewe.Mnasema hakuna anayechangia kumbe kuandika ti mmeshachangia! Hahahaa
Kweli mgombea wenu yuko sahihi na elimu ianzie kwenu!
Jamaa wakiona hizi picha wana paniki. Yaani Lowassa sasa maji ya shingo.Lowassa hana chake hapo
Ndio Kiongozi, umeweka mambo sawa. Magufuli ndio maana anawafuata huko huko vijijini walipo. Safi sana kiongozi.Magufuli atashinda kwa kua anajua kura za watanzania zinapatikana wapi na kina nani ni wapiga kura na yeye ndo anadili nao,
wakati ukawa wanaamini zaidi katika mafuriko ambayo ukichunguza kwa undani wengi wao c wapiga kura na wengine hata kadi hawana.
Mbona ni za kisanii na wala hazina mshiko. MBULU WAMSAMBARATISHA LOWASSAJitambue wewe,hata haunaga aibu na uongo wako wote huu
Mbona ni za kisanii na wala hazina mshiko. MBULU WAMSAMBARATISHA LOWASSA
Wamesema kura zao zote ni kwa Mh. Magufuli.Kwani nini kimetokea hata kusema wamemsambaratisha?