Kuna mziki uko Kwa Musuguli hadi Kifuru kupitia Bwaloni Nguzo,top city hadi kwa Hunju.Hii barabara Ni kama inaelekea kwenye Mali za Mjerumani kule Nyumbanitu.Mh. Mbunge Issa Mtemvu kwanza nakupa pongezi kwa kushinda jimbo hili la kibamba hakika unastahili.
Wananchi wa maeneo ya Kiluvya Gogoni/Hondogo wanakuomba uanze kushughulikia changamoto zifuatazo:
1. Barabara za mitaani zianze kujengwa Kwa kiwango cha lami kupitia mradi wa DMDP, wananchi wanakumbusha kuna ahadi ya km 111 za lami kutoka DMDP chondechonde maeneo hayo yasikose.
Hiyo ndio changamoto kubwa Kwa wakazi hao ukiifaanikisha utakuwa umejiwekea heahima kubwa Na rekodi isiyo futika.
Kazi inaendelea. Muda ndio huu
Kuna Lori bwalon limepinduka na kuzima barabara mbunge aende kulitoa.Majimbo yote yaliyo kuwa yamekaliwa Na wapinzani maendeleo yalisuasua sana; mfano jimbo la kibamba Mnyika alikaa miaka 10 hakuna CHA maana alicho fanya,
Hata km 1 ya lami Kwa ufadhi wa DMDP hakuna, naamini MHE Isa Jumanne Mchomvu antaweka historia ya maendeleo ktk jimbo la kibamaba
Kuna Lori bwalon limepinduka na kuzima barabara mbunge aende kulitoa.
Mleta post. Unajuwa kazi ya mbunge nini? Kama unajua, taja tatu.