Hao wanyama walikuwepo tena wengi Sana Ila Kwa sababu ilikuwa mbuga Tu majangiri hasa wa rwanda. waliwaua wote.Mbona hujaongelea hali ya hewa ya mbuga ambazo wayama wamesombwa kupelekwa chato ?Je hali ya hewa inafanana ?Au tofauti ?Na kama tofauti hao wanyama watasurvive vipi ?
Mbuga kiongoziDuh, mboga tena?
Utakuwa mchaga tu wewe..!Mmm yajayo yanafurahisha. Ecosystem ya sehemu inaruhuru Hao wanyama. Kingwa usikute mnamfurahisha Rais huku mkitoka jasho jembamba mkijisemea tutafanya kl kitakachomfurahisha. Mengine atajua mradi watoto wanaenda Chooni hasara ni Ya wavunja jasho
Jamaa angeweza kuhamisha mlima Kilimanjaro angehamisha uwende Chato
We nenda tuu, utafikia kwa mzee kijiji cha mlimaniNitakuja kutembelea
Tupe info zaidi za sehemu za kufikia watalii.. malazi na kula kula n.k.
Mheshimiwa vp bado uko chato ??BURIGI CHATO;
Hali ya hewa ya ukanda wa Kagera hadi Chato ina mvua za misimu mitatu ya mvua kwa mwaka hivyo ukame ni nadra sana kutokea katika ukanda huo. Na kwa sababu ya kuwa upande wa magharibi wa ziwa Victoria, upepo unaovuma kuelekea nchi kavu unasafirisha hewa yenye umajimaji.
Kijiografia Upepo unaovuma kutoka magharibi mwa ukanda wa Kagera hadi Chato kwenda mashariki, unakuwa na mvuke kutoka msitu mkubwa wa Kongo. Na kutokana na ziwa kuna mawingu ya Cb (Cumuloninbus) yanayo leta mvua nyingi inayo ambatana na radi siku 215 kwa mwaka katika sehemu hizo za Chato na Kagera kwa ujumla.
Majani na miti hubaki ya kijani (evergreen ) mwaka mzima.
#Karibu Mbuga ya Burigi-Chato.
Pedestrian Promotion and Justification.BURIGI CHATO;

Kuwa na subira mkuu.Jamaa angeweza kuhamisha mlima Kilimanjaro angehamisha uwende Chato
BURIGI CHATO;
Hali ya hewa ya ukanda wa Kagera hadi Chato ina mvua za misimu mitatu ya mvua kwa mwaka hivyo ukame ni nadra sana kutokea katika ukanda huo. Na kwa sababu ya kuwa upande wa magharibi wa ziwa Victoria, upepo unaovuma kuelekea nchi kavu unasafirisha hewa yenye umajimaji.
Kijiografia Upepo unaovuma kutoka magharibi mwa ukanda wa Kagera hadi Chato kwenda mashariki, unakuwa na mvuke kutoka msitu mkubwa wa Kongo. Na kutokana na ziwa kuna mawingu ya Cb (Cumuloninbus) yanayo leta mvua nyingi inayo ambatana na radi siku 215 kwa mwaka katika sehemu hizo za Chato na Kagera kwa ujumla.
Majani na miti hubaki ya kijani (evergreen ) mwaka mzima.
#Karibu Mbuga ya Burigi-Chato.
Ile Whitehouse ya Dodoma ni wastage ingejengwa chattle, chattle tunahitaji Chuo kikuu,bandari,uwanja wa Kisasa wa mpira, hospital kubwa ya rufaa,viwanda,soko kubwa LA kimataifa.reli ya SGR ipite pale kuelekea Uganda na Rwanda, tupate bandari Kavu,hadi 2025 iwe sawa na Dubai, mcheza kwao utuzwa.
Ni kitu kizuri kinaifungua Tanzania yetu! Kumbe mboga zipo nyingi zaidi ya zile tulizozizoea.
Ya zaman ni ipi mh?
Mbona hirizi za nduli mbowe wa chadema huzisemi?Mbuga FAKE ya dikteta na nduli. Haendi mtu huko usweken kapeleka wa nyama ili hotel yake ipate wateja. Pamoja na hirizi zake hotel itapata wateja kiduchu sana kutokana na laana ya Mwenyezi Mungu kuhusu maovu yake mbali mbali.
Hali ya hewa ya ukanda huo ina mvua za misimu mitatu ya mvua kwa mwaka hivyo ukame hautokeagi huko. Na kwa sababu ya kuwa upande wa magharibi wa ziwa Victoria, upepo unaovuma kuelekea nchi kavu unasafirisha hewa yenye umajimaji. Pia upepo ukivuma kutoka magharibi kwenda mashariki, unakuwa na mvuke kutoka msitu mkubwa wa Kongo. Na kutokana na ziwa kuna mawingu ya Cb (Cumuloninbus) yanayo leta mvua nyingi inayo ambatana na radi siku 215 kwa mwaka katika sehemu hizo za Chato na Kagera kwa ujumla. Majani na miti hubaki ya kijani (evergreen ) mwaka mzima.