Ahahahahaaaa!Ungemkagua jinsia mkuu
Huyu ni dume mkuu" majike haswa huwa yanalia yakishaonja damu🤣🤣🤣Alikuwa hatoi sauti sijui ndo wanakuwa majike?
Sasa kama kuna chakula chake kwanini asiingie.Mimi sipendi nzi, nzi akiingia chumba cha kulala sipati usingizi hadi nimtoe