Mbozi vs Kongwa, analysis by Malisa GJ

Inawezekana Ndg. Maswanya alilazimishwa kujiuzulu baada ya kuteuliwa na kuapishwa "kwa makosa". Kwamba mamlaka ya uteuzi ingesema imetengua uteuzi wake siku chache tu baada ya kuapishwa ingeibua maswali mengi kuhusu mwenendo wa mamlaka hiyo.
 
Itakua waliahidiwa vyeo kwa kutuliza lile vuguvugu lililokuwepo. Ndugai pamoja na kumpiga bakora chilongani lakini alitulizwa na hata mahakamani hakwenda ili kumnusuru ndugai. Kuna kamchezo kamefanyika hapo.
 
Mtoa maada ametoa maada hii ili ijadiliwe,ametoa uchambuzi wa kina,naona hapa wote mnaleta blaa blaa tu,hebu toeni mawazo yetu
 
Kwani spika wa bunge ni nani?
Mi najua spika, naibu spika, mwenyekiti wa kamati mbalimbali za bunge ni yule mama.
 
Back
Top Bottom