Mbowe: Why I shook hands with Kikwete

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,214
......"I have no personal grudge against President Kikwete…people should understand that he is the lawful President of our country," Mr Mbowe told The Citizen by telephone.........

"We are categorical that Mr Kikwete is Tanzania's lawful President…it is the legitimacy of the mandate that we have problems with…if Mr Kikwete was not the lawful President of this country, we would have demanded that he resign," he said.........

"We all know that the Judiciary is an important link between us and the government…they invited us to the ceremony, and I had no reason to refuse to attend," he said..........

"Politics is not about enmity…what we did during the President's speech in Parliament was meant to highlight our concerns and get our message across, and we have succeeded in that," Mr Mbowe said......

"I doubt whether President Kikwete would have taken steps towards a new constitution were it not for our insistence because the matter is not in CCM's manifesto....

For his part, Dr Slaa said Chadema had no problem with the Judiciary, adding that what they were questioning was Mr Kikwete's legitimacy as the President. "We have not changed our position," he said........

Source: The Citizen. http://thecitizen.co.tz/component/c...900-mbowe-why-i-shook-hands-with-kikwete.html

MY TAKE: I think Mr Mbowe is right, and one can fight an enemy better if he gets close to him.
 
You got to love wanasiasa.

Kuna kushake hands kwa ajili ya formalities tu na kuna kushake hands huku ukifurahia.

Kufuatia watu wawili kuuwawa na polisi Arusha mwezi mmoja uliopita tungetarajiwa kushake hands huku kuwe kwa kutimiza formalities za kiitifaki tu. I hope hicho ndicho kinachoonekana kwenye picha ile.
 
......"I have no personal grudge against President Kikwete…people should understand that he is the lawful President of our country," Mr Mbowe told The Citizen by telephone.........

"We are categorical that Mr Kikwete is Tanzania's lawful President…it is the legitimacy of the mandate that we have problems with…if Mr Kikwete was not the lawful President of this country, we would have demanded that he resign," he said.........

"We all know that the Judiciary is an important link between us and the government…they invited us to the ceremony, and I had no reason to refuse to attend," he said..........

"Politics is not about enmity…what we did during the President's speech in Parliament was meant to highlight our concerns and get our message across, and we have succeeded in that," Mr Mbowe said......

"I doubt whether President Kikwete would have taken steps towards a new constitution were it not for our insistence because the matter is not in CCM's manifesto....

For his part, Dr Slaa said Chadema had no problem with the Judiciary, adding that what they were questioning was Mr Kikwete's legitimacy as the President. "We have not changed our position," he said........

Source: The Citizen.

MY TAKE: I think Mr Mbowe is right, and one can fight an enemy much better if he gets close to him.

inategemea mazingira na wakati, hizi zote ni decision zinazotokana na kipi utapoteza na kipi utagain! is not a formula... kwa misimamo yangu mimi CDM ingekomaa tangu kipindi kile mpaka leo, CDM had the chance to change history of this country kwa kupeleka watu mitaani.!!! wao tu walitakiwa kukomaa na kuondoa huu urafiki rafiki...

In other words tukifikia hatua kuwa kila anayewaza anawaza jema kwa nchi yake ila tunatofautiana alternatives, basi ni muda wa kushikana mikono tu... lakini believe me CCM hawana huo mpango wala hiyo quality....ni wezi tu..na Mbowe kumpa jakamoyo Kikwete asingempa JK Mkono ungeona kama JK angelala usingizi!!!! hakuna kucheka na CCM please!!!
 
Chadema & Mbowe they are very smart,what real Mr mbowe showz up on that picture is a clear mesage to both CCM and all Tanzanian that ..."CHADEMA & CCM THEY PYAL ON THE SAME GAME BUT DIFFERENT LEVEL OF PLAYING THAT POLITICS GAME"
 
Wandugu siasa si uadui. Pamoja na machungu alionao mbowe na Chadema lazima afanye hivyo. Akikwepa kumsalimia je atakwepa kuingia ndani ya Jengo la Bunge au wizara za serikali kufuatilia kero za wananchi? Kama kiongozi wa upinzani ataweza kuacha kufanya kazi na spika? Mwisho utasema jk kaiba kura ngoje nitoke nje ya Tanzania. Vyote hivyo haviwezekani. Tunapingana humu kwa staili iliyopo hadi kieleweke. Sioni tabukusalimiana kwao. In fact ni sawa.
 
I have got no problem na kusalimiana kwao, doesn't mean kwamba when we differ kwenye vitu ambavyo vinahusiana na taifa hili basi hata kusalimiana tusisalimiane that will be too cheap
 
wanasiasa waongo aibu. hatumtambui tunamtambua hatumtambui tunamtambua kuondoka bungeni ilikuwa siasa tu. wafie mbali wote. sisi twendeni jangwani tuikomboe nchi yetu.

kama arusha tu mara chitanda susia vikao mara nendeni vikaoni, wizi mtupu!
 
Baadhi ya watu hawajui wanachokizungumza SIASA SI UADUI adui nisera na uvunjwaji wa sheria....Haina maana kama unampinga mtu eti mkikutana msisalimiane au keshake hands!!! Kitendo kile ni kuonyesha udugu,ubinadam,upendo na si siasa....

Kumbuka Siasa mara nyingi haileti upendo, ina udanganyifu, inaleta chuki japo maendeleo pia yanahitaji siasa.

NO PROBLEM FREEMAN KUSHAKE HAND NA KIKWETE
 
You got to love wanasiasa.

Kuna kushake hands kwa ajili ya formalities tu na kuna kushake hands huku ukifurahia.

Kufuatia watu wawili kuuwawa na polisi Arusha mwezi mmoja uliopita tungetarajiwa kushake hands huku kuwe kwa kutimiza formalities za kiitifaki tu. I hope hicho ndicho kinachoonekana kwenye picha ile.

Na hicho ndo tunachokisahau washabiki wengi wa siasa...

Wakati sisi tukinuniana na kukatana mapanga, wao wakikutana wanashake hands...

Siasa ni kutofautiana kiitikadi, sio uadui.\

Waisraeli na wapalestina wanashake hands, sembuse Kikwete na Mbowe!
 
Vipi ingekuwa ZITTO KABWE ndio kakumbatiana na Kikwete vile JF Hate Brigade si wangemshambulia sana?
 
Vipi ingekuwa ZITTO KABWE ndio kakumbatiana na Kikwete vile JF Hate Brigade si wangemshambulia sana?

Kwani Zitto amebanwa kiasi cha kushindwa kufanya mambo yake?
Akifanya kitu kwa dhamira nzuri hakuna wa kumlaumu
 
WHY?
Yametimia tu yaliyonenywa.

"Mtatoka, mtakuja mimi ndiye raisi wa Tanzania".

Hapo je mmesahau?
 
Its not a big deal, mwenye akili mgando ndiye anaweza kufikili vingine kwa kamanda na JK kusalimiana...:clap2:
 
Shaking hand doesnt mean to go against all CDM resolution concerning new constitution and that there has been a lot of bad games played by NEC and Usalama wa Taifa during the October election.

There is a life after pilitics.Therefore there is no enermity in politics what matters is what you stand for.
 
Back
Top Bottom