Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,045
Nimesikitishwa na kauli ya mwenyekiti wa chadema usiku huu wakati nikitizama taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia kituo cha ITV nilipomsikia Mbowe akisema eti UKAWA wamekuwa wakidai katiba mpya kwa miaka 25 sasa,,wanajamvi naomba mnisaidie ivi vyama vya Upinzani vina miaka 25 tangu kuanzishwa kwake?